Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,411
Message from the Finance Officer.Wana Jf,
Ukitaka kujua thamani ya hela na kujua Pesa ni vitoto vya kuku kamtafute Papa Rwegasira mmiliki Wa silent inn, sasa hivi ni mwendo Wa daladala, Jamaa enzi za mkapa alimiliki mamilion . kwa sasa hana hata bodaboda. Uzuri nimempenda anajichanganya ashajikubari . wale wenye hela za kubip tulizeni mikia jenga cha kukufaa uzeeni acheni majivuno na dharau.
Wapi pa paa mrumba kashama mkuu Wa majeshi, Lilian internet, kamuke sukari , Diana asyonvila, elly longomba, ely kinyama, Jesus, JoJo jumaine, Neeema kumbuka, kupataaa ni majaliwaDaimondo sound Elisto angae Le Falao dah wakati ukuta ukishinda nao?
Sijui kuandika kivipi? Naandika lugha inayoendana na mukthaza wa habari! Hapa tunaongelea disco! Njoo nikuajiri kama huna kipato!Umemaliza chuo kikuu halafu kuandika hujui? Elimu majanga hii
Niajiriwe na mtu aliyemaliza chuo kikuu halafu hajui kuandika? Big NoSijui kuandika kivipi? Naandika lugha inayoendana na mukthaza wa habari! Hapa tunaongelea disco! Njoo nikuajiri kama huna kipato!
Kikari!!!!Hicho kiwanja kilikuwa kikari balaa! Enzi hizo niko UDSM (FoE) baada ya kupiga msuli tunachepukia short cut ya pale ilipo mlimani city tunaingia kiwanja mida ya fungulia mbwa! Daah!
Niajiliwe!!Niajiliwe na mtu aliyemaliza chuo kikuu halafu hajui kuandika? Big No
Mimi wa lapili B mkuu , yeye wa universityNiajiliwe!!
unamkosoa mwenzako kwenye matamshi yaliothiriwa na lugha mama ikiwa na wewe una tatizo kama lake!!Mimi wa lapili B mkuu , yeye wa university
Kumbuka hapa tunaandika na si kutamka mkuu.unamkosoa mwenzako kwenye matamshi yaliothiriwa na lugha mama ikiwa na wewe una tatizo kama lake!!
kwa Hiyo kuandika unaandika l badala ya R na kutamka unatamka sawasawa?Kumbuka hapa tunaandika na si kutamka mkuu.
Hapana, kwenye kutamka unaweza ukakosea kutokana na asili ya mtu atokako lakini kwenye kuandika inabidi tuandike kwa usasahi hasa hao waliomaliza vyuo vikuu, kuna bibi humu anauliza huko shule walienda kusomea ujinga?kwa Hiyo kuandika unaandika l badala ya R na kutamka unatamka sawasawa?
Wapi Bilcanas?ama hakika kila zama na kitabu chake. late 90s, silent inn ndio ulikuwa ukumbi wa starehe uliosumbua sana mjini.
vijana wote watanashati wa enzi zile, ikifika wikiendi, silent inn ndio ilikuwa sehemu yao ya ku-mingle na kutengeneza connection.
*niajiriwe"Niajiliwe na mtu aliyemaliza chuo kikuu halafu hajui kuandika? Big No
So unachuki na walio kuzidi Elimu?Mimi wa lapili B mkuu , yeye wa university
Sijui kuandika kivipi? Naandika lugha inayoendana na mukthaza wa habari! Hapa tunaongelea disco! Njoo nikuajiri kama huna kipato!