Wanaotamba na vijisent jifunzeni kwa Papaa Rwegasira Mzee wa Kibinda Nkoi

Wewe ulimuweza madreva wake Hamis, Sos, na Sadiki waliambulia patupu aliwakopa mishahara mwaka hivi, yaani Jamaa alikuwa mpigaji hatari, unamkumbuka mamvi Kazoba? Hiyo alipewa gari nyekundu kazi yake ikikuwa kuleta watoto wazuri kwa Rewega na Mh. Masiringi. Hawa Jamaa walikuwa hatari. Nakumbuka hata Mwenge eneo hilo silent inn alitapeliwa
Masilingi alimuachia benzi kali toka ikulu, kwaajili ya watoto, kazoba namkumbuka sana rwegasira kaja akadai mi sijui km hamjapewa mishahara.kafungua briefcase unaitwa jina unachukua chako.
Baada ya hapo ndo ikawa jioni tunagonga party ya staff kina mulumba kashama ndani, king dodoo la bouche yumo wengine nimewasahau
Jamaa akasema store yote ya yule mchaga aliyemuuzia silent in iwe empty, tukatwanga pombe siku 2 ya 3 tukarudi kupumzika hm ya 4 w end tukaingia mzigoni
then anakuja koffi ollomide mara ya kwanza 96 hiyo.
 
Laana ya dhuluma... Alikula sana pesa ya Saida huyu

Jr
Aliyekula pesa ya Saida ni FM Felicien Muta,Mshana hao mtu mbili tofauti na muta ndio akaanzisha fm muziki baadae ikawa pinzani na Diamond musica iliyokuwa ya rwegasira na hiyo FM musica ilikua inaitwa bogoss musica kenya huko na ilikua bendi ya asha baraka 92 wakashindwana kimaslahi ndo wakamkimbia kwenda Kenya ikiongozwa na huyo Nyoshi el sadaat.
 
Huu Uzi umejaa ma_legend wa kula bata enzi hizo! Mko wapi tulianzishe au mmeishakuwa watu wazima mko mnalea vijukuu? Mimi bado nadai saana!
 
Back
Top Bottom