Wanaotamba na vijisent jifunzeni kwa Papaa Rwegasira Mzee wa Kibinda Nkoi

Wana JF,

Ukitaka kujua thamani ya hela na kujua Pesa ni vitoto vya kuku kamtafute Papa Rwegasira mmiliki Wa silent inn, sasa hivi ni mwendo Wa daladala, Jamaa enzi za mkapa alimiliki mamilion kwa sasa hana hata bodaboda.

Uzuri nimempenda anajichanganya ashajikubali, wale wenye hela za kubip tulizeni mikia jenga cha kukufaa uzeeni acheni majivuno na dharau.
Ikibinda nkoi
 
Back
Top Bottom