Wanaotamba na vijisent jifunzeni kwa Papaa Rwegasira Mzee wa Kibinda Nkoi

Liverpool_Jr

JF-Expert Member
Sep 7, 2019
1,222
2,000
Wana Jf,

Ukitaka kujua thamani ya hela na kujua Pesa ni vitoto vya kuku kamtafute Papa Rwegasira mmiliki Wa silent inn, sasa hivi ni mwendo Wa daladala, Jamaa enzi za mkapa alimiliki mamilion . kwa sasa hana hata bodaboda. Uzuri nimempenda anajichanganya ashajikubari . wale wenye hela za kubip tulizeni mikia jenga cha kukufaa uzeeni acheni majivuno na dharau.
Message from the Finance Officer.
""Never give the FINANCIAL ADVICE to someone who has never ask you""

Everyone should live his/her life.

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom