Wanaotamba na vijisent jifunzeni kwa Papaa Rwegasira Mzee wa Kibinda Nkoi

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
13,767
7,115
Wana JF,

Ukitaka kujua thamani ya hela na kujua Pesa ni vitoto vya kuku kamtafute Papa Rwegasira mmiliki Wa silent inn, sasa hivi ni mwendo Wa daladala, Jamaa enzi za mkapa alimiliki mamilion kwa sasa hana hata bodaboda.

Uzuri nimempenda anajichanganya ashajikubali, wale wenye hela za kubip tulizeni mikia jenga cha kukufaa uzeeni acheni majivuno na dharau.
 
Wana Jf,

Ukitaka kujua thamani ya hela na kujua Pesa ni vitoto vya kuku kamtafute Papa Rwegasira mmiliki Wa silent inn, sasa hivi ni mwendo Wa daladala, Jamaa enzi za mkapa alimiliki mamilion . kwa sasa hana hata bodaboda. Uzuri nimempenda anajichanganya ashajikubari . wale wenye hela za kubip tulizeni mikia jenga cha kukufaa uzeeni acheni majivuno na dharau.
Kwa hiyo pesa sio kitu
 
ama hakika kila zama na kitabu chake. late 90s, silent inn ndio ulikuwa ukumbi wa starehe uliosumbua sana mjini.

vijana wote watanashati wa enzi zile, ikifika wikiendi, silent inn ndio ilikuwa sehemu yao ya ku-mingle na kutengeneza connection.
 
Back
Top Bottom