Wanaotamba na vijisent jifunzeni kwa Papaa Rwegasira Mzee wa Kibinda Nkoi

Wana Jf,

Ukitaka kujua thamani ya hela na kujua Pesa ni vitoto vya kuku kamtafute Papa Rwegasira mmiliki Wa silent inn, sasa hivi ni mwendo Wa daladala, Jamaa enzi za mkapa alimiliki mamilion . kwa sasa hana hata bodaboda. Uzuri nimempenda anajichanganya ashajikubari . wale wenye hela za kubip tulizeni mikia jenga cha kukufaa uzeeni acheni majivuno na dharau.
Watu wameona ya Rugemalila, nini Rwegasira.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Wapi pa paa mrumba kashama mkuu Wa majeshi, Lilian internet, kamuke sukari , Diana asyonvila, elly longomba, ely kinyama, Jesus, JoJo jumaine, Neeema kumbuka, kupataaa ni majaliwa
80s walikuwepo Marquis du Zaire na Nguza vicking walitamba hapo mahala na vijana wa Kuhanga baada ya kupata 600 kwa direct form six, na machua 800.
 
Watu wameona ya Rugemalila, nini Rwegasira.

Sent from my typewriter using Tapatalk
Rugemalira hajachoka anachoshwa tu bado iko njema. Akitoka anaweza kuwa na ukwasi ile mbaya. Ogopa kichwa kile, MTU alijisomesha ukubwani akagonga GPA ya juu kabisa. Alafu bado Mabibo wine inafanya vizuri under mwanae, huyu rwegasila ukimpa teni anaweza kukusalimia shikamoo kaka, akikataa ni ujeuri tuu.
 
ama hakika kila zama na kitabu chake. late 90s, silent inn ndio ulikuwa ukumbi wa starehe uliosumbua sana mjini.

vijana wote watanashati wa enzi zile, ikifika wikiendi, silent inn ndio ilikuwa sehemu yao ya ku-mingle na kutengeneza connection.
na zamani kulikuwa na watanashati?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pesa huisha hiyo inafahamika.
Lakini kwanini umemhusisha Rwegasira na majivuno? Alikuwa anaringa?

Wana Jf,

Ukitaka kujua thamani ya hela na kujua Pesa ni vitoto vya kuku kamtafute Papa Rwegasira mmiliki Wa silent inn, sasa hivi ni mwendo Wa daladala, Jamaa enzi za mkapa alimiliki mamilion . kwa sasa hana hata bodaboda. Uzuri nimempenda anajichanganya ashajikubari . wale wenye hela za kubip tulizeni mikia jenga cha kukufaa uzeeni acheni majivuno na dharau.
 
Kwa hyo una furahia mwenzio kuanguka?.
Umasikini bwanaaaa

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Wana Jf,

Ukitaka kujua thamani ya hela na kujua Pesa ni vitoto vya kuku kamtafute Papa Rwegasira mmiliki Wa silent inn, sasa hivi ni mwendo Wa daladala, Jamaa enzi za mkapa alimiliki mamilion . kwa sasa hana hata bodaboda. Uzuri nimempenda anajichanganya ashajikubari . wale wenye hela za kubip tulizeni mikia jenga cha kukufaa uzeeni acheni majivuno na dharau.

Mama Rwakatare (sijui ni Lwakatare) amemtema?
 
Wana Jf,

Ukitaka kujua thamani ya hela na kujua Pesa ni vitoto vya kuku kamtafute Papa Rwegasira mmiliki Wa silent inn, sasa hivi ni mwendo Wa daladala, Jamaa enzi za mkapa alimiliki mamilion . kwa sasa hana hata bodaboda. Uzuri nimempenda anajichanganya ashajikubari . wale wenye hela za kubip tulizeni mikia jenga cha kukufaa uzeeni acheni majivuno na dharau.
Jamaa alitutapeli huyu, kampa koffi olomide dola elfu 40 si hatuna mshahara.siku koffi anapiga pale katupa dola 100 then tukapigwa staff party ya nguvu ila kazi ifanyike
Siku 3 nikachukua changu nikaanza.
Alifanya kosa la kiufundi kuwaambia bouncers nichukue heineken nje kuleta ndani. Zilikua zimeisha hapo nasave vip.
Nikatangaza kwa waiters wote kwamba nna shamba la heineken.
Aah hapo tena wahaya walikua wengi nikapiga pesa chap,siku mbili, nikapiga Diamond jubilee moja nikaondoka na mshahara wa miezi 6.
Hata kazi sikutaka tena
 
Wewe ulimuweza madreva wake Hamis, Sos, na Sadiki waliambulia patupu aliwakopa mishahara mwaka hivi, yaani Jamaa alikuwa mpigaji hatari, unamkumbuka mamvi Kazoba? Hiyo alipewa gari nyekundu kazi yake ikikuwa kuleta watoto wazuri kwa Rewega na Mh. Masiringi. Hawa Jamaa walikuwa hatari. Nakumbuka hata Mwenge eneo hilo silent inn alitapeliwa
 
Back
Top Bottom