Wanaotamba na vijisent jifunzeni kwa Papaa Rwegasira Mzee wa Kibinda Nkoi

Sawa nimekuelewa kwa asilimia zote coz kuna kipindi nilibahatisha visenti basi ghafla nilipata wapambe hata walikotoka hapakujulikana.
Utakuta mmekaa bar mnaongea akipita demu mkali wanakutongozoea ghafla analetwa mezani.
Mara akipita muuza viatu au suti anaitwa halafu wanaanza kukuchagulia huku wanaisifia,hii suti kali sana mkuu ni kwa ajili ya watu wa level zako,anavaaga JK hii.

Nilivyofirisika waliyeyuka wote,ila nimeanza kuzichanga tena sasa hivi sitaki mazoea na mtu na bahati nzuri umri wangu bado haujaenda sana niko below 35.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi pia mkuu. Nilipitia hio experience. Bahati nzuri baada ya kupoteza kila kitu nilikuja pata nafasi nyingine na kupata hela nzuri zaidi sasa kwa kutumia mafunzo niliyojifunza hapo mwanzo sikurudia kosa tena nikaweka mambo sawa. Tatizo ni kwamba kwa bahati mbaya mtu mwingine akishafilisika hapati nafasi tena kama ya mwanzo. Kwa hio ameshajifunza somo lakini opportunity unakuta hairudi tena.

Kwa 35 uko sawa kabisa. Afadhali umeshapitia hio, na utapata mahela mengi sana na sasa utajua cha kufanya bila kukosea.
 
Ni kweli mkuu.
Nilishaset target yangu ikatiki sema tu hii corona ndio imechafua kidogo hesabu zangu.
Mbaya ni ile unakuta mtu anabahatisha pesa akiwa na miaka 50 sasa akichezea akafirisika ni ngumu sana kuzipata zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa nimekuelewa kwa asilimia zote coz kuna kipindi nilibahatisha visenti basi ghafla nilipata wapambe hata walikotoka hapakujulikana.
Utakuta mmekaa bar mnaongea akipita demu mkali wanakutongozoea ghafla analetwa mezani.
Mara akipita muuza viatu au suti anaitwa halafu wanaanza kukuchagulia huku wanaisifia,hii suti kali sana mkuu ni kwa ajili ya watu wa level zako,anavaaga JK hii.

Nilivyofirisika waliyeyuka wote,ila nimeanza kuzichanga tena sasa hivi sitaki mazoea na mtu na bahati nzuri umri wangu bado haujaenda sana niko below 35.

Sent using Jamii Forums mobile app

😁😂
 
hata wewe unamatatizo ya kuchanganya "l" na "r"
uajiliwe ndo nini??
lugha sahihi ni uajiriwe.
Mzee elimu yangu ni darasa la 4 sasa iweje mtu anasema amefika chuo kikuu anaandika kama mimi wa darasa la nne?
 
Bina bina binadamuuuu......Binadamu hawana shukran, Shukran shukran shukran......wajelajela original

Wajelajela walimwimba huyu Mzee baada ya Mzee kuwatumikisha kwenye ukumbi wake bila kuwalipa pesa zao,alikuwa na roho mbaya huyu Mzee...hakuwa na utu.
 
Aliyekula pesa ya Saida ni FM Felicien Muta,Mshana hao mtu mbili tofauti na muta ndio akaanzisha fm muziki baadae ikawa pinzani na Diamond musica iliyokuwa ya rwegasira na hiyo FM musica ilikua inaitwa bogoss musica kenya huko na ilikua bendi ya asha baraka 92 wakashindwana kimaslahi ndo wakamkimbia kwenda Kenya ikiongozwa na huyo Nyoshi el sadaat.
Na badae wakarudi bongo baada ya kutoka Nairobi,wakaitwa fm musica pale langata soçial hall l ikapigwa khadijha.
Nikamjua Gisselle toka hiyo bendi,nilichomsaidia na nilivyomuacha mungu anajua.
Ila wote hawa king dodoo,Nyoshi el sadaat walikua kundi zima wanakula pale kwa Gisselle kila siku.
Nilimtema huyo Gisselle alilia siku mbili getini.
 
Back
Top Bottom