Maajabu: Mwigulu adai asasi itakayotetea watoto kurudi kusoma baada ya kujifungua zitafutwa zote

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868

Hahaaaa haaaaaa Tanzaniaaaaa

Waziri wa mambo ya ndani ya nchi bwana Mwigulu Nchemba anadai kuwa taasisi yoyote (NGO) itakayotetea au kupingana na amri ya rais ya kuwaruhusu watoto watakopata ujauzito kurudishwa shuleni na kuendelea na masomo atazifuta zote.

Hii ikiwa ni kusema yoyote atakayetetea watoto hao asasi yake kufutwa.

Tukisema nchi inaelekea kuwa ya kidkteta tunaonekana wabaya ila ndo hali halisi ya nchi inakoelekea.
 
UKITAKA KUMTAWALA MTU MNYIME ELIMU KISHA TENGENEZA MAZINGIRA YA MTU HUYO AWE MASKINI SIKU ZOTE, HAPO UTAMTAWALA VIZURI SANA. KAMA WALIVYOFANYA VIONGOZI WALIOTANGULIA KUTAWALA TANZANIA,

MWIGULU ANAHOFU AKISEMA KWELI ATAFUKUZWA UWAZILI.

ALIKUWA WAPI KIPINDI CHA BASHITE KUVAMIA CLOUDS NA VYETI FEKI, MAUAJI KIBITI? HILI NI LI_SENGE SANA
 
kwa mamlaka gan aliyonayo? mbona vitu vingine wanaongea bila hata kutumia akili? kwan yeye ndiye msajili wa hzo asas? inaskitisha sana tumewachagua watu tukiamin kuwa ni wasom kumbe hamna kitu kabisa! viongoz wa namna hii ndio waliotufikisha apa! bila shaka ndio hao waliopigia kura bungen mikataba mibovu , na leo hii ndio wanampongeza no1, kwel bongo viongoz hatuna jaman
 
UNajua unachoongea lkn we bavicha
 
Back
Top Bottom