wanaotaka serikali tatu ni wanasiasa sio wananchi

East African Eagle

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
3,759
Reaction score
2,209
Nimegudua kuwa wanaodai serikali tatu sio wananchi wa kawaida ni wanasiasa wanaoishi kwa jasho la wengine kupitia hizo kodi kwa sababu zifuatazo:

Mkulima hahitaji serikali tatu anachotaka ni serikali moja itakayompa uhuru wa kumiliki ardhi na kulima popote na kuuza popote

Mfanyabiashara anachotaka ni serikali moja yenye sheria za biashara na kodi za aina moja na taratibu za aina moja zinazomwezesha kufanya biashara popote bila bughudha ya aina yoyote

Mfanyakazi angependa kuwe na serikali moja ambapo yuko huru kufanya kazi popote na kwa viwango sawia vya mishahara na marupurupu

Mvuvi angependa serikali moja inayomwezesha kuvua popote na kujiuzia popote

Kiongozi wa dini angependa serikali moja yenye sheria moja ambayo inamwezesha yeye kutangaza dini yake na kuabudisha popote bila vikwazo

Mwanafunzi angependa awe huru kusoma popote na kupata mkopo wa kusoma popote

Lakini wanasiasa ndio wanataka serikali tatu ili wawe na nyimbo zao,majeshi yao,balozi zao,na vyeo vyao vya kisiasa na mafungu yao ya kugawana mapato yatokanayo na kukamua kodi wanyonge

Wakili wa kujitegemea angependa serikali moja ya kumwezesha kufanya kazi zake popote bila vikwazo ndani ya nchi moja.

Mfugaji wa kuhama hama angependa serikali moja inayoruhusu yeye kujichungia mifugo yake popote penye malisho mazuri ya mifugo yake

Hivi hiyo tume ya Warioba ina uhakika kuwa wananchi ndio wanataka serikali tatu?

Mimi baada ya kuwahoji wanachi wa kawaida wengi wameruka kuwa hilo la serikali tatu anayelijua vizuri ni huyo warioba na tume yake na hao wanasiasa wa UKAWA.

Wataka serikali tatu wanaotoa hadi mapovu ni wanasiasa ambao wanaishi kwa kutegemea siasa tu na wanaofaidika na ulaji kodi za wananchi ila wanajaribu kutumia wananchi kama ngao ya ubaradhuli wao.

Chadema na CUF wanajua kuwa si rahisi wao kushika nchi ikiwa moja kwa sababu CUF ina nguvu sana Zanzibar lakini bara haina nguvu hivyo nchi ikiwa moja wanajua hawatapata kura bara na CHADEMA wanaona kukiwa na serikali moja watakwama kwa kuwa wana nguvu sana Tanzania bara lakini Zanzibar hawana nguvu hivyo kukitokea uchaguzi kukiwa na serikali moja wanajua watakwama. Hivyo makundi haya mawili ya CUF na CHADEMA yanapigania serikali tatu kwa kuota ndoto za Alnacha kuwa zikipatikana basi CUF itashika Zanzibar CHADEMA tashika BARA na CCM itaambulia hako kaserikali ka muungano kasikokuwa na NGUVU wala raslimali bali kanategemea michango ya washirika.

Ukweli ndio huo wanasiasa ndio wanataka serikali tatu na warioba akaona muhimu kuwasikiliza hao na akayaita eti ndio maoni ya wananchi sio kweli.

Katika vitu vya aibu ambavyo tume imefanya ni kuchukua maoni ya wanasiasa kuhusu serikali tatu na kuyaita maoni ya wananchi .Ni aibu kwa tume. Najisikia vibaya tume kwa hili imekula posho ZA KODI ZA WANANCHI bure kabisa.
 
ni kweli aiseeee.ndo maaana siwaelewi kabsa ukawa!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
2 au 3 wote wanasiasa tu,wananchi tunataka 1kama hamwezi timiza aliyowasilisha warioba
 
samahani ndugu, hivi zile kamati zilizopita za katiba za akina kisanga zilileta maoni ya serikali ngapi? Au kamati zote zinawahoji wanasiasa tu?

Anyway, hivi mda huu kuna serikali ngapi? Na je tunatumia katiba ngapi? Tuna nchi ngapi?

Rais wa tanganyika anaitwa nani maana tuna rais wa serikali ya mapinduzi zanzibar ambaye ni shein.bunge la tanganyika liko wapi maana kuna baraza la wawakilishi.
 
Na Vice versa! S3,S2 wote ni wanasiasa! Wananchi unaweza kukuta wanataka S1 tu!
 
...tuepuke kutumia masaburi kufikiri na kuchambua mambo ya msingi...
 
S1 ndo ya WANANCHI na wameizowea toka 64. NI JMT. S1 DAIMA.
 
Huwez kumshaur mzanzibar serikali moja na hata ningekua mm ni mzanzibar bado nisingekubal hata serikali mbili maana ni unyonyaj na wala sio muungano, mf. Mke akiungana na mume itabakia kuwa watu wawil ambao ni mke&mume na cha tatu ni familia ambayo ni matokeo ya muungano. Kwa maana hiyo tz ni serikal tatu.
 
Hivi Tanganyika ipo wapi vile?
samahani ndugu, hivi zile kamati zilizopita za katiba za akina kisanga zilileta maoni ya serikali ngapi? Au kamati zote zinawahoji wanasiasa tu?

Anyway, hivi mda huu kuna serikali ngapi? Na je tunatumia katiba ngapi? Tuna nchi ngapi?

Rais wa tanganyika anaitwa nani maana tuna rais wa serikali ya mapinduzi zanzibar ambaye ni shein.bunge la tanganyika liko wapi maana kuna baraza la wawakilishi.
 
JF imevamiwa na watu wa ajabu, hata wakiwa usingizini wakisia tu UKAWA watakurupuka na kupost utumbo. Mfano simiyu yetu post zake zinafichua uwezo mdogo sana wa kuchambua mambo. Huyu bila shaka elimu yake ndogo sana. Lakini hii isiwe sababu, ndugu angalau tumia common sense.
 
siku zote uzalendo ni kuipigania nchi yako ya asili,leo wazanzibar wana uzalendo wa hali ya juu na uzanzibar wao kamwe huwezi kuifuta hiyo.Leo hii tuna BLW,ambalo lina viongozi wake kiserikali,tuna Bunge la jamhuri, ambalo wabunge wazanzibar wanahudhuria na humo kwenye Bunge la jamhuri kiongozi wa shughuli za serikali bungeni,ni waziri mkuu ambae hana mamlaka wala madaraka kwa Zanzibar na wabunge wake,sasa huyu waziri mkuu ambae hana mamlaka Zanzibar ni wa serikali gani kama sio TANGANYIKA?Sasa mnakataa ya tatu kuiweka wazi kwa nn?Wakati sasa hv yenyewe tunazo tatu,na ndo msingi mzima wa rasimu yote kuanzia mabunge,haki za binadamu,mahakama,tunu ya taifa na maadili ya viongozi yamewekwa kwa msingi wa tatu.Kwa ujumla tatu haziepukiki kwa sasa,tuwe wazalendo tuidai Tanganyika yetu
 
Nini maana ya tanga/ nyika? Kaita tanga ama kaita tanga na nyika. Kaenda chooni ama mwenda hovyo maporini. Ni sababu ya magharibi kusema afrika wanaishi wanyama na ardhi yake ni uchmi wa nchi zao.
Jina tanzania limewachosha tafuteni jingine na sio t/ n ni matusi!
Mtikila katoka kusini hajui tafsiri ya kibondei ama kizigua.
Acheni kufata mkumbo, someni historia.
Mjnga tu hubebewa akili.
 
Back
Top Bottom