Wanaotaka kusoma kozi za afya 2015-2016

Wanaotaka kusoma kozi za afya 2015-2016

grysn

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2015
Posts
266
Reaction score
35
kuna ukweli wowote apa....

kwamba lazima uwe umesoma advanced physics kwa kila kozi ya afya , kama nursing, medical lab, na nyingnezo ukiachana na md na pharmacy...!!!?
 
kuna ukweli wowote apa....

kwamba lazima uwe umesoma advanced physics kwa kila kozi ya afya , kama nursing, medical lab, na nyingnezo ukiachana na md na pharmacy...!!!?

physics ni kila kitu
 
Sio kweli,kuna jamaa zangu wapo MUHIMBILI nursing wamesoma CBG advance
 
Naweza piga coz gan nikiwa nime soma Chmstry n Math...kw ngz y digrii....
 
ni kweli kabisa, ingia nacte ujionee mwenyewe
 
ni kweli kabisa, ingia nacte ujionee mwenyewe
ofcoooz phyz inamata sana. nafkiri jaribu kudownload guid book uone mwenyewe.. condition ya phyz ipo.. tofaut na hapo abda kma olevel ulipiga phz fresh unachukuliwa
 
kama huna D ya physics hakuna kozi yeyote utakayosoma siku hizi
 
hii taarfa ni kweli...!!? kwa wanao taka soma degree za afya...!!? nacte sio kwa diploma..!!?
 
kwaa ambaye ajaisoma,kabisa...!!?
 
Back
Top Bottom