Wanaotaka kuanzisha bakery ushauri unatolewa

Wanaotaka kuanzisha bakery ushauri unatolewa

kijana13

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2013
Posts
1,980
Reaction score
3,635
Habari wakuu.
Kama una ndoto ya kuwa na bakery ninatoa ushauri wa namna ya kuanzisha katika maeneo yafuatayo.
1.Vifaa (equipments) muhimu vinavyohitajika na wapi kwa kupata kwa bei na ubora.vifaa kama commercial oven,mixer machine, loaf slicer,workbench ,bread and cakes moulds,proofer etc
2.Upatikanaji wa bakery ingredients na accessories kwa ajili ya cakes na bread.
3.Utaalamu wa upikaji keki na mikate,cookies ,biscuits etc..
4.Na mambo yote kwa ujumla katika tasnia ya bakery etc

Utaratibu wangu wa kazi ni ushauri na wapi utapata huduma zote nilizoainisha hapo juu.
Ni PM
 
mkuu hauwezi ukafanya makadirio ya gharama kwa ujumla wake ili nasi tujipime kama twaweza??
 
mkuu hauwezi ukafanya makadirio ya gharama kwa ujumla wake ili nasi tujipime kama twaweza??

Mkuu inategemeana na capacity unayotaka kuzalisha na aina ya bidhaa either cakes or bread or biscuits au vyote maana vifaa vinatofautiana ubora na bei. But kuna level unaweza anza kwa na 3 au 5 au 8 au 15 au 30 au 50 mill. Hapo ni machinery,accesories na ingredients only.
 
Nashukuru mkuu..nimekuelewa sana..acha njipange kumbe naweza...
 
Back
Top Bottom