Kwani Wee Upo Single?Mhhhh
Asante kwa ushauri,website itakuwa hewani hv karibuni ,malengo yetu ni kuhakikisha watu wanafikia malengo ya ndoa tu na s ivinginevyo,nitawahabarishaSuch a good idea..ingawa tamaduni zetu zinabadilika taratibu kutokana na global forces, naamini wazo lenu ni zuri kama jamii italichukulia kwa mtazamo chanya.Pia idea itumike kwa malengo hayo na si vinginevyo.
By tha way, mmesha anzisha website etc?
Nadhani ikiwepo itakua vizuri ili kutokea pale client akipata "mwenzie" ndio sasa kuwe na option ya nyie kuwa link..ila kuwapigia simu as mlivyotoa namba sina uhakika kama ita work our...just trying to think aloud!
#Ni mtazamo tu.
Keep it up.
tuko wengi ni jopo la walimu na wanasaikolojiaKwani Wee Upo Single?