Wanaotafuta vyumba chuo kikuu cha SUA

Wanaotafuta vyumba chuo kikuu cha SUA

Mpatuka

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2015
Posts
2,333
Reaction score
3,714
Wanaotafuta vyumba chuo kikuu cha SUA. Mimi kama mwenyeji wa mazingira hayo lakini kama member wa suaso kupitia uongozi wa chuo kikuu cha SUA, basi ningependa kuwataarifu wanachuo wote waliochaguliwa kujiunga na chuo chetu pendwa endapo wanapata changamoto mbalimbali ni vipi wataweza kuanza maisha mapya mara baada ya kufika chuoni na wasingependa kuishi hosteli basi mm nipo kwaajir yenu. Kupitia Mimi nitawawezesha kutimiza matarajio yenu ya kuishi nyumba za kupanga ambazo zipo karibu kabisa na maeneo ya chuo. Hivyo basi kupitia mimi waweza pata muongozo mzuri wa namna ya kukabiliana na mazingira mapya ikiwemo kuunganishwa na group la WhatsApp ambalo linahusika na fresher's. Hii nikutokana na kukosa imani kutokana na mazingira ya sasa yalivyo but kama utapitia mimi ni sawa au kuunganishwa kwenye group ni sawa pia kwakua hata mimi nimepita huko mpaka sasa kupata ujasiri huu wa kufanya hiki nacho kifanaya.
 
Ok ila kwa kutusaidia ungejaribu kutuunga kwenye group ya whatsp ya freshers ili tuwe miongoni na kupata mawili matatu kuhusu makazi
 
Back
Top Bottom