Wanaostaafu sasa wanapewa Nyumba?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,837
Reaction score
50,541
Wakati CHADEMA inapinga uuzwaji wa nyumba za Serikali Kwa hoja kuwa sababu zilizotolewa kwa nini nyumba zile ziliuzwa zilikuwa za uongo, watu wengi hawakuelewa.

CCM walisema zoezi la kujenga na kuwauzia nyumba watumishi wa Serikali litakuwa endelevu.

CCM watuambie wafanyakazi wa umma wanaostaafu hivi Sasa nyumba zao wanazotakiwa kuuziwa ziko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…