Wanaosema ushindi wa Simba Tushukuru Corona Mjitafakari

Job Richard

JF-Expert Member
Feb 8, 2013
3,865
2,169
Wale wanaokaidi mazuri yaliyofanywa na club ya Simba nyie mnafananishwa na watu wasiosadiki kila wanachokiona mbele yao,
Kupitwa kimafanikio hilo lipo kila field hapa duniani
Muhimu jifunze lakini kuweka sababu za kushindwa kwako unatoa takwimu Hasi sio vyema kabisa

Kushinda kwa simba ni ushindi wa TANZANIA NZIMA
 
Simba ishukuru Corona kwa fact zipi,Kwamba Corona imeongeza idadi ya wachezaji Simba ama?
 
eti wanasema timu zilizofungwa na Simba hazichezi ligi za nyumbani kwao kwa sababu ya corona. hazina metch fitness. Yanga hawana akili hata ya kuvukia barabara. Congo, Misri na Sudane ligi zinaendelea kama kawaida.

Usikute wanaenda kuzitafuta hizi timu Kariakoo mtaa wa Kongo na Temeke Sudani
 
Kama ni korona basi mbna haitokei Kwa Namungo ambaye amepoteza mechi zote?
 
eti wanasema timu zilizofungwa na Simba hazichezi ligi za nyumbani kwao kwa sababu ya corona. hazina metch fitness. Yanga hawana akili hata ya kuvukia barabara. Congo, Misri na Sudane ligi zinaendelea kama kawaida.

Usikute wanaenda kuzitafuta hizi timu Kariakoo mtaa wa Kongo na Temeke Sudani
Waaache nyimbo hawa
 
Yanga hawana shukrani hata kidogo tumewatupia mbeleko ingalao waondokane na fedheha ya kugaragara kwenye mavumbi ili wapasue anga kama sisi,lakini bado wanatuombea mabaya tu. Hawa hawana tofauti na hayawani wa porini tu.
FB_IMG_1617468034918.jpg
IMG-20210218-WA0015.jpg
 
Back
Top Bottom