Jehova sumary
Member
- Jun 9, 2017
- 25
- 24
Hapo sasa ndio umeongea vizuri, hongera xanaHawezi lakini kwa nje anaweza akashitakiwa kwa kuvunja haki za binadamu???, crime against humanity
Hapo sasa ndio umeongea vizuri, hongera xanaHawezi lakini kwa nje anaweza akashitakiwa kwa kuvunja haki za binadamu???, crime against humanity
Sheria zinatofautiana maana Bunge pekee katika nchi nyingine zenye mabunge ya kweli siyo kama la kwetu lililojaa kina Kubenea na Msukuma lina uwezo wa kum Impeach raisHayo mambo ya Malawi huku kwetu yahusikaje? Huko kwa wenzetu hata raisi anaweza kushtakiwa huku kwetu hicho kitu hakipo!
Wewe lofaNiko tayari kutoa pesa Taslimu zitakazowezesha Ndugai kuburuzwa mahakamani .
Wewe haujamuelewa, Tungekuwa na wanasheria wazuri nasi tungekuwa kama wao, sasa tunashudia vituko bugeni kwani katoto kanakaa chini kwenye geti la bunge kisha kanaanza kulia kwa sauti kubwa hakataki kubembelezwa na wenzake kanakwenda kufungua kesi eti walitaka kukapiga, kanasikilizwa! Ni kama shule ya chekechea. Mahakama zimejaa kesi za vituko zinazotufanya tuonekane wahovyo, nakumbuka mwanahabari mmoa toka Afrika Kusini aliishangaa sheria mpya ya habari, Sijui hao wasomi wako wapi.Wewe hujui kitu,,,, pisha watu waliosoma angalau sheria kidogo
Huyu alisema kuwa kesi za malawi hazihusiani na hapa, ndiyo nikasema hana hata basics za sheria, maana kama huku hatuna sheria kama hiyo ikitokea issue ya hivyo, tunakwenda kuazima common lawWewe haujamuelewa, Tungekuwa na wanasheria wazuri nasi tungekuwa kama wao, sasa tunashudia vituko bugeni kwani katoto kanakaa chini kwenye geti la bunge kisha kanaanza kulia kwa sauti kubwa hakataki kubembelezwa na wenzake kanakwenda kufungua kesi eti walitaka kukapiga, kanasikilizwa! Ni kama shule ya chekechea. Mahakama zimejaa kesi za vituko zinazotufanya tuonekane wahovyo, nakumbuka mwanahabari mmoa toka Afrika Kusini aliishangaa sheria mpya ya habari, Sijui hao wasomi wako wapi.
Unajua shida ni tafsiri, uamuzi wa bunge ndio haupingwi wala kutenguliwa mahakama yoyote ile. Adhabu ya kina mdee ni uamuzi wa Bunge sio spikanote: file is corrupted but readable anyway:
Ni kueleweshana na si chuki au uchochezi, kumekuwa na mabishano kuwa Spika ni muhimili unaojitegemea hauwezi kushitakiwa ukivunja haki/sheria/katiba kwa vile kifungu cha ..... cha katiba kinampa kinga namadaraka ya bunge.