Mwinjilisti Mkweli
Member
- Nov 21, 2023
- 10
- 24
Ulisharudi Kutoka Marekani?Siku ya Jumamosi ya tarehe 21 iliandikwa historia ya kunyesha mvua isiyo ya kawaida iliyosababisha maafa makubwa sana. Pamoja na maeneo mengine, jimbo la Kawe liliguswa vibaya sana na mvua hizi.
Kweli tena weka number ya simu hapo .....utakumbukwa kwenye usanii na kutengeneza comedySiku ya Jumamosi ya tarehe 21 iliandikwa historia ya kunyesha mvua isiyo ya kawaida iliyosababisha maafa makubwa
Gwajima ni msanii tu!! Hilo greda lake halitatatua matatizo ya barabara za jimbo la Kawe haşa zile za kule Tegeta kwasababu greda linakwangua na mvua zikinyesha barabara inakuwa tope haipitiki!!Kweli tena
Kweli tena weka number ya simu hapo .....utakumbukwa kwenye usanii na kutengeneza comedy
Muwe mnasahau vitu vingine mkuu. Siyo poa kufuatilia kila kitu.Ulisharufi Kutoka Marekani ?
Hapo Japan unaendeleaje na mafunzo ya uvuvi mkuu?Siku ya Jumamosi ya tarehe 21 iliandikwa historia ya kunyesha mvua isiyo ya kawaida iliyosababisha maafa makubwa sana. Pamoja na maeneo mengine, jimbo la Kawe liliguswa vibaya sana na mvua hizi.
o na barabara alizotengeneza unaweza kudhani Gwajima wako 1000 kumbe jamaa ni mmoko lakini shughuli ni ya kubafu aroooo.
Hahahaha gwaji boySiku ya Jumamosi ya tarehe 21 iliandikwa historia ya kunyesha mvua isiyo ya kawaida iliyosababisha maafa makubwa sana. Pamoja na maeneo mengine, jimbo la Kawe liliguswa vibaya sana na mvua hizi.
huli ni ya kubafu aroooo.
Wewe utakuwa hauko Kawe, kazi ya Gwajima jimboni inajieleza. Labda ongelea ya 15 ya aliyekuwepo na mahala pake hapatakuwako tena kawe. Kazi kazi gwajima oyeeeeee!Sawa Gwajima naona umekuja kujipa promo
Muongo wewe, sijui unazungumzia jumamose ipi ya tarehe 21, pengine mwaka jana. 2023.Siku ya Jumamosi ya tarehe 21 iliandikwa historia ya kunyesha mvua isiyo ya kawaida iliyosababisha maafa makubwa sana. Pamoja na maeneo mengine, jimbo la Kawe liliguswa vibaya sana na mvua hizi.
Madaraja mengi yalikatika, nyumba ziliondoka na kukabaki misingi tu. Magari na samani nyingi zilisombwa na maji. Tangu siku ile jana mbunge Gwajima amekuwa bega kwa bega na watu wake kuhakikisha anakuwa nao huku akipambana kurudisha tumaini tena kwenye maisha yao.
Gwajima ameonekana sana kwenye site za madaraja na barabara huku greda alilonunua likipambana na tope usiku na mchana kusaidia wananchi. Madaraja mengi yameirudishwa katika hali yake na mawasiliano ya barabara yamerudi kuimarika vyema.
Kama vyombo vya habari havioni jambo hili sisi wananchi tutatumia midomo yetu kumwambia mbunge asante kwa moyo wako wa ukarimu. Jitihada zako tangu ulipoamua kugombea mpaka leo zinaonekana.
Mtu akija jimboni na aweke akili yake sawasawa. Ukituletea masentensi ya ovyo eti mbunge hajatusaidia tutakufundisha hii ndio Kawe ya Gwajima. Mitaro ya Mbweni, mitaro ya Msasani, vivuko na barabara alizotengeneza unaweza kudhani Gwajima wako 1000 kumbe jamaa ni mmoko lakini shughuli ni ya kubafu aroooo.
Nenda Kawe standWewe utakuwa hauko kawe, kazi ya Gwajima jimboni inajieleza. Labda ongelea ya 15 ya aliyekuwepo na mahala pake hapatakuwako tena kawe. Kazi kazi gwajima oyeeeeee!
Sasa unataka hayafanye yote kwa wakati mmoja!?Nenda Kawe stand
Hana jipya umewahi kufika Salasala?Sasa unataka hayafanye yote kwa wakati mmoja!?
Mbona siku kwa siku anakuwa jimboni na kazi inaendelea???
Unapoambiwa gwajiboy ni msanii elewa, au tukutumie clip yake akimfufua mtu wakati ule alipokuwa na lile kanisa lake la mabati pale ubungo?Sasa unataka hayafanye yote kwa wakati mmoja!?
Mbona siku kwa siku anakuwa jimboni na kazi inaendelea???