Leo asubuhi wakati naenda chuo nimekuta njia nzima karatasi tu zikihusiana na mambo ya freemason,nikajiuliza hizi namba za simu walizoziweka kwanini selikali haiwafuatilii au kwao ni kawaida tu.
Serikali iko busy kudeal na watumia madawa ya kulevya hata kama ni kwa matumizi binafsi na si kwa kuuza, baada ya hapo itaanza na wanywa pombe, halafu wavuta sigara. Kama nafasi itapatikana ombi lako litafikiriwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.