Kwa siku kazaa ndani ya week hii nimezunguka kilimeta nyingi katika majiji, municipal, miji na vijiji. Kwa mshangao mkubwa nimeshangazwa na uwepo wa mabango ya mgombea nafasi ya Urais kupitia chama Cha mapinduzi -CCM Mh. John Joseph Magufuli.
Kilichonitatiza ni wingi wa mabango haya yanayomnadi mtu maarufu nchini namba moja. Kwa fursa ya nafasi ya Urais kwa muda wa miaka 5 ambaye ameshaizunguka nchi karibu yote, na kurushwa na vyombo vya habari karibu kila siku za week.
Mtu amabaye social media zote kazi yao ni ku quote alichokisema katika matukio ya kila siku wakiti akitimiza majukumu yake.
Je, mtu maarufu kiasi hiki ana haja ya kutumia billion of money kumtangaza ?
Hebu twende taratibu tufanye hesabu hii kidogo.
Tufanye kila poster ya mgombea ile ya saizi ndogo amabazo ziko nyingi kila kona ya miji na majiji inachapishwa kwa tsh 500 tu.
Kwa mabango yaliyopo jiji la Dodoma tu ni kama 10000
Then 500 x 10000=5,000,000 hapa ni city center tu, ukienda kwenye maeneo yote ya jiji na vitongoji vyake unaweza kupata gharama isiyo chini ya 50,000,000.
Fanya kwa miji yote Tanzania na vitongoji vyake kwa makadirio ya chini sio chini ya Million 500
Kwangu naona matumizi ya mabango kumnadi mtu maarufu namba one Tanzania sio tija kabisaa.