Na hii ndio maana ya ukaidi.Hujafanya chochote mkuu kwakuwa bado umenukuu Quran ambayo hao wapinga mungu kwa hoja za kimantiki hawaiamini.
Huwezi kuwaaminisha kwa kwenda kunukuu biblia au quran.
Sasa mkuu weka proof na facts kuwa imetoka kwa mungu ndio wakuamini sio unaleta tu empty words.Na hii ndio maana ya ukaidi.
Wanaipinga Quran kwa sababu wanasema haijatoka kwa mungu, lakini hata kama inatoka kwa mungu ndio tayari wameshaipinga.
Thibitisha Mungu yupo, na kwamba hizo habari za kuwepo kwa Mungu si hadithi za kusadikika zilizotungwa na watu tu.Wanaokana mungu huwa wanahoja mbalimbali katika kupinga uwepo wa mungu, pia huwa wanakosoa mafunzo ya dini ili kutilia mkazo zaidi katika hilo.
Lakini ukweli ni kwamba, sio kama hoja zao zinathibitisha kutokuwepo kwa mungu, hapana.
Bali hoja zao zinathibitisha kuwa wao ni wapingaji, hivyo hakuna andiko wala muujiza utakao wafanya waamini, sembuse hizi hoja ambazo huwa wanarumbana na watu Kila kukicha.
Na hivi ndivyo walivyo tangu enzi na enzi, hoja zao ni zilezile, na hata katika Quran, imeelezwa jinsi hawa watu walivyowakaidi.
Walipoonyeshwa miujiza waliita uchawi, maneno ya mwenyezimungu waliyaita hadhithi za kutunga, mitume waliwaita wachawi, machizi n.k.
(rejea; Quran 6:7,10:2,15:6, 46:17, 44:14, 40:56...)
Na katika kudhihirisha zaidi ukaidi wao, walifikia hadi kusema kumwambia mwenyezimungu, eti kama kweli hii (yaani yale aliyokujanayo mtume) ni haki kutoka kwako basi tuteremshie mawe kutoka mbinguni, au ututeremshie adhabu yenye kuumiza.(rejea; Quran 8:32)
Hii inaonyesha ni kiasi gani hawa watu ni wakaidi maana wangetaka kujua, wangeomba kuongozwa ila kwakuwa ni wakaidi wakaomba kuangamizwa.
Atakwambia thibitisha kama mungu yupo.
Sasa kama dalili alizoziweka mungu mwenyewe kuthibitisha uwepo wake hazijakukinaisha kuamini, unadhani hoja gani itakayokukinaisha.
Muktadha wa kupinga kwao ni kwamba mungu hayupo, hivyo hoja za kuthibitisha uwepo wake zote ni batili, lakini hata kama mungu yupo na hizi ndizo dalili alizoziweka kuthibitisha uwepo wake, basi ndio tayari wameshazipinga, maana hawakubalianinazo, hivyo ni wapingaji.
Kwahiyo tatizo sio ubora wa dawa ya sikio katika kutibu, bali tatizo ni kuwa hili ni sikio la kufa, hivyo halisikii dawa.
Atakwambia thibitisha kama mungu yupo.Thibitisha Mungu yupo, na kwamba hizo habari za kuwepo kwa Mungu si hadithi za kusadikika zilizotungwa na watu tu.
Twende pointi moja bada ya nyingine katika uthibitisho wako.
Dalili gani unazosema na unajuaje zimewekwa na Mungu na habari hiyo si story ya watu tu?Atakwambia thibitisha kama mungu yupo.
Sasa kama dalili alizoziweka mungu mwenyewe kuthibitisha uwepo wake hazijakukinaisha kuamini, unadhani hoja gani itakayokukinaisha.
Muktadha wa kupinga kwao ni kwamba mungu hayupo, hivyo hoja za kuthibitisha uwepo wake zote ni batili, lakini hata kama mungu yupo na hizi ndizo dalili alizoziweka kuthibitisha uwepo wake, basi ndio tayari wameshazipinga, maana hawakubalianinazo, hivyo ni wapingaji.
Kwahiyo tatizo sio ubora wa dawa ya sikio katika kutibu, bali tatizo ni kuwa hili ni sikio la kufa, hivyo halisikii dawa.
Wakipigwa pia ni dalili hakuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.Wakikaidi na wapigwe tu.
Hoja ni zilezile unazozijua zilizotajwa katika Quran, au ulianza kupinga kwanza kabla ya kujua hoja zilizomo katika Quran?Dalili gani unazosema na unajuaje zimewekwa na Mungu na habari hiyo si story ya watu tu?
Unaweza kuitaja dalili moja tuichambue?
Hoja gani? Unaweza kuitaja moja?Hoja ni zilezile unazozijua zilizotajwa katika Quran, au ulianza kupinga kwanza kabla ya kujua hoja zilizomo katika Quran?
Kama ulifanya hivyo huoni kama huo ni ujinga?
Na kama unazijua basi ndio ulishazipinga, na hii ndio point yangu.
Siyo kwamba hupo hapa kunithibitishia Mungu yupo.Kwa sababu sipo hapa kukuthibitishia kuwa mungu yupo, bali ninatambua msimamo wako kuwa huamini kama mungu yupo.
Au nimekusingizia?
Hujathibitisha Mungu yupo.Na wewe unapinga uwepo wa mungu.
Hakuna ubishi.
Hii ndio maana ya ukaidi, kwa sababu kupinga hakulazimu kutokuwepo, mtu anaweza kupinga hata kitu ambacho kipo.Hujathibitisha Mungu yupo.
Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.
Kwa sababu hayupo.