Bongo kunavipaji vingi.Naona unamlisha maneno Dr. Fauci, sijaona mahali pameandikwa wanaopinga chanjo watafute pa kwenda.......au hii ng'eng'e imeanza kunitoa knock out....
Kahamie Mars bhanaa kasituletee nuksi, kazee kana miaka themanini huko lakini bado kamekaba nafasi ya watoto kuzaliwa...Wafikirie kuwa na jamii yao Kama hapa kwetu tulivyoambiwa twende burundi