Wanaopendekeza Alphard mbadala wa Land Cruiser V8 ni wivu tu unawasumbua

BabaMorgan

JF-Expert Member
Dec 18, 2017
4,050
10,495
It's doesn't make any sense kupendekeza Alphard kuwa mbadala wa Land Cruiser kwa kigezo cha kupunguza gharama za matumizi upande wa magari serikalini.

Uhimilivu wa V8 unaweza kulingana na Alphard?

Hadhi ya V8 inaweza kulingana na Alphard? Lazima pawepo utofauti kati ya watawala na watawaliwa ili kujenga discipline ya kuheshimiana.

Alphard ni Noah iliyochangamka wacha iendelee kutumiwa kwenye huduma za catering.
 
Kiongozi Bora hata atembee kwa miguu ataheshimika TU, kwani tutamuheshimu Kwa kutatua KERO zetu na sio ujio wake kwetu wa kifahari, eg waziri wa mawasiliano apambane 1gb iuzwe 200tsh huyo kwetu ni Bora kuliko anaetutembelea Kwa helcopta huku 1gb=2000 ndio maana huko kulikotangulia viongozi wanatembea Hadi Kwa baiskeli still wanaheshimika
 
Wewe unawaita viongozi..mtoa mada aanawaita watawala.
Ndo tofauti ya kimtazamo ilipo hapo
 
It's doesn't make any sense kupendekeza Alphard kuwa mbadala wa Land Cruiser kwa kigezo cha kupunguza gharama za matumizi upande wa magari serikalini.

Uhimilivu wa V8 unaweza kulingana na Alphard?

Hadhi ya V8 inaweza kulingana na Alphard? Lazima pawepo utofauti kati ya watawala na watawaliwa ili kujenga discipline ya kuheshimiana.

Alphard ni Noah iliyochangamka wacha iendelee kutumiwa kwenye huduma za catering.
Na fortune vipi mkuuu
 
Mimi nina Alphard.
Kiukweli ninaitumia tu kama ulivyosema kwenye catering.
Lazima tofauti iwepo kati ya sisi mama ntilie na wenye majukumu ya kutuongoza.
Mimi mwenyewe naitamani hiyo v8 sema ndo hivyo akaunti haisomi.
 
Hao wenyewe wanaotupa Mikopo na Misaada wanapata public transports, Halafu sisi wakopaji na tunaosaidiwa viongozi wetu wanapanda V8 - sisi waafrika ni watu wa ajabu sana.
 
It's doesn't make any sense kupendekeza Alphard kuwa mbadala wa Land Cruiser kwa kigezo cha kupunguza gharama za matumizi upande wa magari serikalini.

Uhimilivu wa V8 unaweza kulingana na Alphard?

Hadhi ya V8 inaweza kulingana na Alphard? Lazima pawepo utofauti kati ya watawala na watawaliwa ili kujenga discipline ya kuheshimiana.

Alphard ni Noah iliyochangamka wacha iendelee kutumiwa kwenye huduma za catering.
"Lazima uwepo utofauti Kati ya watawala na watawaliwa" Hii ni mentality ya kikoloni.
Sasa wewe Uwe kiongozi kijijini kwako, wewe ndio ukaishi, kwenye bangalow, nyumba Kali kama ikulu, umezungukwa na fensi ya umeme, watoto wako wanapanda school bus, unaowaongoza wanaishi mbavu za, mbwa,watoto wao wanaenda shule peku,Ila wazazi, wanalipa Kodi, inayokupa mshahara, Kodi ya nyumba, gari, na mafuta!
Kuna uzuri gani hapo zaidi ya uchawi!
Kwanini unaamini wananchi wanaoongozwa Bora wawe maskini, fukara, ila walipe Kodi ili viongozi wao waishi vzr kifahari!
Imeandikwa wapi kwamba lazima viongozi watumie V8! Don't get me wrong! Sina shida viongozi wakitumia magari ya kifahari, tatizo je uchumi wa nchi unaruhusu?
UK mawaziri wanatumia Vogue, Rangerovers, huwezi, kuona wananchi wanalalamika!
Bongo nchi ambayo hata kutengeneza bettry hatuwezi unataka serikali kila mwaka itenge bajeti kununilia V8 mpya!
Hatuwaonei wivu, uwepo uwiano, kwa sasa kwa vile bado ni tegemezi, tunaweza kununua cruzer 2,prados, au cruzer mkonga, hilux single cabin, sasa hata DC na RC anataka atumie V8 series ya 300 mpya, why!
 
Wapi duniani kuna usawa kati ya watawala na watawaliwa? Hizo nchi ambazo zinasifika kwa demokrasia ya utawala bora ndizo role model wa kuweka gap kati ya viongozi na wananchi kwa kuishi luxury life.

Katika uongozi ni lazima kiongozi awe vizuri financially ili aweze kupewa attention ya kusikilizwa na kuheshimiwa kama kiongozi ata appear too cheap itamuweka katika wakati mgumu kuwaongoza wananchi wake.
 
Back
Top Bottom