Wanaopenda ngono na watoto kuhasiwa Kazakhstan

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Sheria mpya imeidhinishwa nchini Kazakhstan inayoruhusu utumiaji wa kemikali kuhasi ili kuwaadhibu watu waliopatikana na hatia ya kufanya ngono na watoto.

Hatua hiyo ni mojwapo ya sheria mpya kulinda haki za watoto.

Ofisi ya mwendesha mashtaka mkuu wa Kazakhstani imesema kuwa visa vya watu wanaopenda kufanya ngono na watoto vimeongezeka kwa asilimia 50 mwaka uliopita.

Lakini wataalam wanasema kuwa kuhasi hakuna madhara makubwa, hakudumu, hulazimika kurejelewa na ni ghali.

Chanzo: BBC
 
Wangechunguza kwanza source ya watu kupenda kufanya ngono na watoto ndo wadhibiti source badala ya kushughulikia matokeo tu..Naona wanataka kujenga taifa la mahanisi
 
Ni sawa Na hiyo itasaidia kiasi flani kupunguza gharama za kuwafunga watu.
 
Wangepitisha sheria hii kwa nchi zote za kiarab naona jamii ya kiarab ingetoweka duniani kwani wanaume wengi wangehasiwa na kuwa wase.nge.

 
Back
Top Bottom