Wanaona gere

Kua cheusi si dhambi.
Dhambi ni kua mwanaume alf unakula kwa shemeji.
🤣🤣🤣🤣🤣pole cheusi.mana hata huyo shemeji mwenyewe sina.labda insha Allah Mika ijayo wadogo zangu wakiolewa.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kucheleeee kujf kucheleeee
Ndiyo ndiyoooo Tena wakuache maua wa watu na wakupishe kuleeee..
Kwani shida zako Sasa[emoji23]
Kwako cocastic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dyadyaaaaaa yaan hii JF wee achaaa tyuuh. Mbavu zangu mie uwiiiiiih.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tukuone na wewe ni mzuri ?watu ambao huwa mnaponda wenzenu huwa hata hamtazamiki.

Acha tabia yako ya kumkashifu mwenzio.

Halaf kuna watu wamelike huo upuuz hivi mnaotukanaga wenzenu wabaya nyie kwenu wazuri??
 
Tufanye comment ya kwanza kabisa mimi na huyo jamaa ndo comment yetu kwako.
 
Mwanzo nilipokuwa nasoma mada zake nilijua kuna ukweli ila kwa sasa nimegundua ni chang’amsha genge ukute ni dume linawachora members wanavyo povuka[emoji2372][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzo nilipokuwa nasoma mada zake nilijua kuna ukweli ila kwa sasa nimegundua ni chang’amsha genge ukute ni dume linawachora members wanavyo povuka[emoji2372][emoji16][emoji16][emoji16]

Ni sawa itakuwa swala la mahusiano yanamchanganya lakin sio vizuri watu kumzonga na kumtukana kuhusu mwili wake
 
Niwakati sasa huyu kiazi asiye jielewa Unique Flower asulubiwe kwa kauli zake za uchonganishi maana anageuza jukwaa kama kibaraza cha uswahilini  Tumezichoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…