Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,362
- Thread starter
- #201
Wivu wanayoo ukala xmass mwenyewe wewe ni mchoyoNini kinaendelea humu[emoji848]
Wivu wanayoo ukala xmass mwenyewe wewe ni mchoyoNini kinaendelea humu[emoji848]
Mda za Kuchang’amsha genge hizi au za vijiwe vya kahawa😁Binafsi Huwa unaunanifurahisha sana na nyuzi zako watu wanakutolea povu hunaa habari naooo ndiokwanzaaaa Kesho unawafungulia uzi😁!
Wakuu mtu mmoja ajitolee amuoe huyu dada tafadhalii
Acha umbeyaMda za Kuchang’amsha genge hizi au za vijiwe vya kahawa😁
Acha umbeyakabisa make sio kwa maneno kila siku
Miguu yangu HD hii mwanamama wewe.🤣🤣Ukimaliza kakojoe upumzike na miguu yako inayochana shuka
Miguu yangu kifafa upate wew inahusu
Upi mkuuAcha umbeya
Acha umbeya
Sisi wenye ndoa kwa umoja wetu tunasema tunahitaji michepuko ili tutulize akili sasa huku mnako tupeleka bora tubaki njia kuu.Kwa niaba ya Mabachela wa JF, napenda kusema "hatuko tayari kuoa mwendawazimu".
Tunawaachia nyie wenye ndoa, kama kuna anaetaka kuongeza tatizo (mke) la pili!
Nani naye anayekutaka humu hakuna maana Hujielewi Kuna wanaume wanataka na wanahangikiwa sio wewe mpuuzi tu Fulani ambaye hujitambui unatrako ambalo halijajuaga mafuta tokea uanze kuoga mwenyeweKwa niaba ya Mabachela wa JF, napenda kusema "hatuko tayari kuoa mwendawazimu".
Tunawaachia nyie wenye ndoa, kama kuna anaetaka kuongeza tatizo (mke) la pili!
Wewe unahitajika maombi maana upo single tokea tupo misri na kaananiKama sio maigizo basi mtoa mada kwa threads zake anahitaji msaada wa mtaalamu wa afya ya akili.
Njoo basi uwe manzi angu labda naeza kukupelekea moto wenge likate.Wewe unahitajika maombi maana upo single tokea tupo misri na kaanani
Siye tumeshaenda kanani siku nyingi na vyuma vinanyanyuliwa daily hujui tu .Njoo basi uwe manzi angu labda naeza kukupelekea moto wenge likate.
Tumeshajua unachompa. Siku akigundua Bei ya hicho kitu Tandika ndio itakua mwisho wako na yeye.Single Mother mxiuu mtasarenda tu mjue kuwa kuachwa siachwi
SijakuelewaTumeshajua unachompa. Siku akigundua Bei ya hicho kitu Tandika ndio itakua mwisho wako na yeye.
😆😆😆😆😆 Haya sawaNdugu juzi ulikuwa umeolewa shemeji akaja kabla ya honey moon ukaja kuomba ushauri Leo umeambiwa ziwa ndala Tena 😂 😂😂😂
Kingfisher unataka kiki nawe ujulikane ngoja nitakuwa nakutaja hiloo acha wivuKuna tatizo mahala