RGforever
JF-Expert Member
- Apr 3, 2011
- 6,878
- 5,431
Watanzania Hao hao waliokuwa Wanawapost Kina Chid Benz...RayC..eti Jamii iwasaidie na Madawa Ya Kulevya Leo hao hao Wanamsupport Suspect wa Madawa ya Kulevya aliyetajwa na Makonda.... Watanzania kwa Unafiki Tunaongoza...
Wanaona Anaonewa Sana utadhani wanajua Hali za Mahabusu na Wafungwa Zipoje...
Acheni Dunia Imfundishe ....Si kisa Nyie ni Mashabiki zake Ndo mtete Watu acheni vyombo vya Usalama vifanye Kazi zake...
Wanaona Anaonewa Sana utadhani wanajua Hali za Mahabusu na Wafungwa Zipoje...
Acheni Dunia Imfundishe ....Si kisa Nyie ni Mashabiki zake Ndo mtete Watu acheni vyombo vya Usalama vifanye Kazi zake...