Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
We nguruwe pori kiji gani hicho,kwani unadhani mpango ukianza vijiji vyote vinapata umeme siku moja mengi kawaharibu ndiyo basi tena.Vijiji gani webpweza? Mbona vijiji vyetu watu wanatumia solar . Embu toeni ulafa wenu hapa. Hii pesa najua ni nyingi sana mliyoiiba na ndio maana mmeshapeana mgao huko mmekuja hapa JF
We nguruwe pori kiji gani hicho,kwani unadhani mpango ukianza vijiji vyote vinapata umeme siku moja mengi kawaharibu ndiyo basi tena.
Vibaraka siwataki aje fisadi mengi mwenyewe nipe vyake hapa nyie wajinga wakupewa elfu kumi tu mnakuja kubadika migazeti ya mengi sinashida na nyie nataka fisadi mwenyewe aje.
Hebu muulize kwanza mengi kazi aliyowapa wale wanasiasa imewashinda? Kama vyombo vyake navyo vikishindwa atatumia njia ipi ambayo ni mbadala.[/QUOT
]
WAFANYABIASHARA TYPE YA MENGI NI HATARI KWA USALAMA WA NCHI.ANATAKA KUNYENYEKEWA KWA SABABU TU ANA HELA??HZO HESHIMA AKAZIFUATE HUKO MACHAME.MSOMI,MWENYE AKILI NYINGI ,MUHONGO APELEKESHWE NA MTU ASIYEJUA HATA KUONGEA NA MALI ZAKE ZA MAUZAUZA, NEVER ON EARTH.
Mkuu una uelewa wowote wa mradi wa MCC unaofadhiliwa na Marekani? Ungekuwa na uelewa wa huo mradi usingeandika hii pumba1) Hivi dalali hua hapati pesa, mbona yeye hajatajwa?
2) Mnashangaa kwa nini deni limeongezeka, mbona hamshangai kusambaa kwa nguzo nchi nzima au mlijua anatoa pesa mfukoni kwake?
Mkuu una uelewa wowote wa mradi wa MCC unaofadhiliwa na Marekani? Ungekuwa na uelewa wa huo mradi usingeandika hii pumba
Huyu mama side naye vipi mnona matusi,eti mama said mbona yanakutoka tu.Yaani we mama tunajua kuwa Muhongo wewe ni nyumba ndogo yake ndo maana umekuwa msemaji mkuu baada ya kujibu
Huo mradi upo chini ya wizara gani na hiyo wizara inasimamiwa na nani?Mkuu una uelewa wowote wa mradi wa MCC unaofadhiliwa na Marekani? Ungekuwa na uelewa wa huo mradi usingeandika hii pumba
Nipashe limeshakuwa gazeti la udaku.
Ujue mengi na vibaraka wake akili zenu ziko nusu kweli kaacha wenye makosa kamfuata muhongo ambaye hata kosa hana kweli mengi kapagawa mwaka huu muhongo noma kweli.Kumbe wale wanaodaiwa kuhongwa na Muongo wameshaanza kazi,huwezi kupingana na CAG,PCCB,PAC na Bunge.
Kwani huyu Mheshimiwa si ang'atuke tuu kinachomfanya ang'ang'anie ni nini?Kama yeye ni muadilifu atoke tuu kwani kuna nini anachong'ang'ania.Walikuwepo wangapi bhana na wameng'atuka.Hii ndio shida ya kula hela za watanzania,ameshanogewa sasa anaona mipango yake itaharibika.Nenda tu Mheshimiwa tunajua umefanya mazuri,lakini kwa hili doa huwezi kutakata hata kwa Jiki.Kapumzike.
Mwambie mengi hakuna vitaru vya gesi vya kugawa afuate utaratibu tu vinginevyo atachonga sana kitaru cha gesi hapati.Jibu maswali yaliyoulizwa acha porojo.
Hakika mkuu huo ndiyo ukweli halisi japo ni ukweli mchungu kwa mafisadi.Mwenye macho haambiwi tazama.
Hii issue yote ya Prof. Muhongo kunga'ang'aniwa kwenye hii issue ya ESCROW ni kutokana na Prof. Muhongo kuwabana mafisadi.