Muache tuu akili hana huyuAcha zako wewe kila kukicha mafisadi. Mara wezi wa rasilimali zetu. Kuwa mkweli wananchi wa maeneo mengine wabomolewe nyumba zao lkn wale ambao damu nzito kuliko maji kuwe na human face. Halikadhalika kwa wenye vyeti.
Na mkome kuwaita Watz wenzako masikini wakati nyote mnaishi kwa kutegemea kodi zao.
Suala lingine mnadai mnanunua dawa ili kuokoa maisha ya Watz. Vp kupigwa risasi Mh Lissu kuna jitihada zozote kutoka kwa Mh Rais kuhakikisha maisha ya Lissu yanarejea?
Duh upumbavu tena?Tatizo lenu ni hilo tu. Yan mnataka KILA MTU ASEME "NDIO MZEE" hata kama jamaa yenu anakosea. Do you mean KILA ANACHOFANYA yupo right..!!?? Hata hili alilosema Mwanza kwamba wasibomolewe kwa sababu ndio waliompa kura nalo unalikubali na kumsifia..??? Au haulikubali ila unaogopa kuonekana fisadi na kutetea mafisadi na wezi kama ulivyosema kwny andiko lako...???
Acha upumbavu. Ni bora ukakaa kimya kuliko kuongea na kuonesha kiwango cha upumbavu na ujinga ulichonacho.
Aiiiiseee lijinga wewe sijui unawaza kwa kutumia niniTanzania ina bahati ya kupata RAIS mzalendo na mwenye uthubutu wa kufanya maamuzi magumu tena kwa wakati
Wanao mpinga RAIS ni mafisadi,watetezi we mafisadi na wanaotetea RUZUKU za vyama vyao.
Kama mtanzania maskini una kila sababu ya kuwa pamoja na RAIS kwani RAIS anashughulika na shida zetu watanzania maskini.
Wakati watoto wa wanasiasa hata wa upinzani wakisoma shule za gharama kubwa,kuna watoto wa maskini hawakuwa hata na access katika shule za kata kwa kukosa karo,,RAIS kaingia kaleta elimu bure,,Leo nitamshangaa mtanzania maskini anaempinga RAIS,,huko upinzani waachieni wenyeviti na viongozi wengine waendelee kupiga debe kwani wao ndio wanao kula RUZUKU.
Wakati wananchi maskini wakiugua na kutibiwa katika hospitali za serikali,wao wakiugua hupelekwa nje ya nchi,,RAIS kwa kuthamini uhai wa watanzania aliamua kuondoa watumishi wasio na vyeti ili kuboresha huduma kwa kutolewa katika kiwango bora cha utaalamu,,fikiria ni watanzania wangapi wamepoteza maisha kwa kutibiwa na vilaza? Yote haya RAIS aliyafanya kwa manufaa ya mtanzania mnyonge asiekuwa na sauti,yeye ndio sauti yao.Hakika Watanzania maskini mkombozi wetu ni RAIS Magufuli
Wakati dawa hazipatikani hospital in wanasiasa wangeweza zinunua popote na kwa gharama yoyote,,RAIS aliamua kuiondoa hiyo kero kwa kujenga maduka ya dawa kila mkoa na kupiga vita wizi wa dawa za serikali,,yote haya ni kwa ajili ya uhai wa mtanzania maskini.
Nadhani nikiendelea kuweka orodha ya mema ya RAIS hata bahari igeuke kuwa wino,miti iwe kalamu na mbingu ziwe karatasi hakika sitaweza andika yote,,ni mengi mno.Itoshe tu kusema kuwa Rais Magufuli ni chaguo LA Mungu kuja kumkomboa mtanzania maskini.
Jaruri@0712207633
Mkuu jibu hoja usipindishe. Wewe yawezekana ndiyo ulimpiga weweAcha zako wewe kila kukicha mafisadi. Mara wezi wa rasilimali zetu. Kuwa mkweli wananchi wa maeneo mengine wabomolewe nyumba zao lkn wale ambao damu nzito kuliko maji kuwe na human face. Halikadhalika kwa wenye vyeti.
Na mkome kuwaita Watz wenzako masikini wakati nyote mnaishi kwa kutegemea kodi zao.
Suala lingine mnadai mnanunua dawa ili kuokoa maisha ya Watz. Vp kupigwa risasi Mh Lissu kuna jitihada zozote kutoka kwa Mh Rais kuhakikisha maisha ya Lissu yanarejea?
Endelea kushikiwa akili PIMBI WEWETanzania ina bahati ya kupata RAIS mzalendo na mwenye uthubutu wa kufanya maamuzi magumu tena kwa wakati
Wanao mpinga RAIS ni mafisadi,watetezi we mafisadi na wanaotetea RUZUKU za vyama vyao.
Kama mtanzania maskini una kila sababu ya kuwa pamoja na RAIS kwani RAIS anashughulika na shida zetu watanzania maskini.
Wakati watoto wa wanasiasa hata wa upinzani wakisoma shule za gharama kubwa,kuna watoto wa maskini hawakuwa hata na access katika shule za kata kwa kukosa karo,,RAIS kaingia kaleta elimu bure,,Leo nitamshangaa mtanzania maskini anaempinga RAIS,,huko upinzani waachieni wenyeviti na viongozi wengine waendelee kupiga debe kwani wao ndio wanao kula RUZUKU.
Wakati wananchi maskini wakiugua na kutibiwa katika hospitali za serikali,wao wakiugua hupelekwa nje ya nchi,,RAIS kwa kuthamini uhai wa watanzania aliamua kuondoa watumishi wasio na vyeti ili kuboresha huduma kwa kutolewa katika kiwango bora cha utaalamu,,fikiria ni watanzania wangapi wamepoteza maisha kwa kutibiwa na vilaza? Yote haya RAIS aliyafanya kwa manufaa ya mtanzania mnyonge asiekuwa na sauti,yeye ndio sauti yao.Hakika Watanzania maskini mkombozi wetu ni RAIS Magufuli
Wakati dawa hazipatikani hospital in wanasiasa wangeweza zinunua popote na kwa gharama yoyote,,RAIS aliamua kuiondoa hiyo kero kwa kujenga maduka ya dawa kila mkoa na kupiga vita wizi wa dawa za serikali,,yote haya ni kwa ajili ya uhai wa mtanzania maskini.
Nadhani nikiendelea kuweka orodha ya mema ya RAIS hata bahari igeuke kuwa wino,miti iwe kalamu na mbingu ziwe karatasi hakika sitaweza andika yote,,ni mengi mno.Itoshe tu kusema kuwa Rais Magufuli ni chaguo LA Mungu kuja kumkomboa mtanzania maskini.
Jaruri@0712207633
We kabinti punguza kujiregeza!!!Mtanzania yeyote maskini hawezi mpinga Rais,anafanya yaliyo kuwa mahitaji yetu maskini
We binti mrembo acha kujidhalilisha kwa nafasi ambazo utaziacha hapa duniaMtanzania yeyote maskini hawezi mpinga Rais,anafanya yaliyo kuwa mahitaji yetu maskini