Wanaompinga Rais Magufuli wachunguzwe

Mungu tu ndo hapingwi....au umemgeuza kuwa Mungu wako!

Kupingwa sio kitu kipya lakini shida inakuja kila jambo liwe zuri au baya baadhi ya watu wamekuwa wapingaji, Rais sio mungu wala malaika ni binadamu wa kawaida tu, mapungufu yapo lakini anapofanya vizuri tumpongeza, anapofanya vibaya tupinge kwa nguvu zote.

lakini sio kila jambo tunakuwa watu wa kupinga tu.
 
Sijasoma huu uzi kabisa maana kichwa cha habari tu kinaonyesha hamna la maana, anakosolewa rais wa Dunia obama sembuse huyu ngosha ambaye hakupewa hata orientation course??
 
Huu ni ufinyu wa mawazo.
Yaani ukiwa na mtazamo mbadala una matatizo ya akili???
Nadhani asiyependa mawazo na fikra mbadala ndio atakuwa na matatizo ya akili.
Unanikumbusha wale waliokuwa wanapiga kelele, anayemsapoti Lowassa apimwe akili...nadhani ushajua mapungufu ya hoja yako na kama kuna kupima akili kundi lipi liwe la kwanza kupimwa.
 
Kadhalika wanaomsifia kwa kila jambo wachunguzwe, pia wanaokataza rais asikosolewe nao wachunguzwe nia zao maana upo uwezekano wanampeleka kusiko kwa faida zao wenyewe.
Kweli wanao sifia kila jambo nao wana matatizo sababu binadamu hawezi kuwa kamili 100%, inabidi tukosowe pale panapo staili sio kila jambo kushangilia au kukosoa tu.
 
WAANZE KUKUPIMA WEWE MWENYEWE KWANZA KWA KUMSAPOTI MAGUFULI AMEFANYA NINI HADI SASA ULICHONIFAIKA NACHO WEWE NA TAIFA HASA KIUCHUMI,KISIASA,KIJAMII NA KIUTAMADUNI NA TUKUCHUNGUZE VIZURI NINA MASHAKA NAWE.
 
Heri sisi tunaomkosoa, wenye kumpinga na kumwekea mitego ili asifanikiwe wapo wamejaa tele ndani ya chama chake, na hao hana ubavu wa kuwagusa. Sisi anatupeleka rumande lkn ipo siku atapata maono katika ndoto kuwa hatumtakii mabaya ila mafanikio.
 
kichwa maji ........uwiiiiiiiiiiiiiiii
 
Wewe ndiyo Pambafuuuu, mpuuuuuuzi moja, Mwenye mawazo mgando unaefikiria shida na njaa zako zitatatuliwa na Rais, Ovyooooo kabisa.
Wewe ndio wa hovyo zaidi!!!
Hujui matatizo anayoyasababisha rais kwa maamuzi yake ya kuzifungia kabatini hela zinazokusanywa kwenye kodi.

Rais hana kauli za kuwaunganisha raia wake!!!!
Ameu paralyize mfumo wa utumishi umekuwa unajiendea kama kukuvaliyekatwa kichwa.

95% ya wakurugenzi wa halmashauri nchini hawajawahi kuwa wakuu wa idara za serikali kama kananuni zinavyoelekeza.
Yeye kawarundika kibao huko halafu hutaki watu waseme.

Baba awazuiaye wanae wasiongee nyumbani mwake huyo anauhusiano na mwezi mchanga!!!

TUACHE TUNAOMPINGA TUMPINGE KWA MAANA TUNAYO SABABU YA KUMPINGA.

Mnaomuunga mkono ikateni kabisa mikono yenu mumpelekee.
 
Ni vema zaidi kama wangeweza kwanza kuchunguzwa wale wanao muunga kwa kila kitu,kwani yeye siyo Mungu ni binadamu ambaye naye ana makosa yake,wale wanao muunga mkono kwa kila jambo wasije wakawa ni matahira maana yake tahira ndiye asiyejua jema na baya kila kitu kwake ni sawa tu.
 
Unaota au umezimia?siku ukizinduka changia uzi huu tena
 
Hata ambao hawakumpigia kura kuwa rais nao inabidi wachunguzwe.
 
Heri sisi tunaomkosoa, wenye kumpinga na kumwekea mitego ili asifanikiwe wapo wamejaa tele ndani ya chama chake, na hao hana ubavu wa kuwagusa. Sisi anatupeleka rumande lkn ipo siku atapata maono katika ndoto kuwa hatumtakii mabaya ila mafanikio.

Kweli kabisa wanao muwekea mitego ili asifanikiwe ndiyo adui namba moja wa taifa letu, haijalishi anatoka wapi, chama gani!!!!
 
Hata ambao hawakumpigia kura kuwa rais nao inabidi wachunguzwe.
Hapana kuchagua na kuchaguliwa ni haki wa kila Mtanzania, Tatizo linakuja baada ya kupata Kiongozi wa nchi inabidi tupinge na kukosea pale panapo staili sio kila jambo kupinga tu eti sababu hujampigia kura.
 
Mbona hueleweki . Unakubali nini na una pinga Kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…