DITOPILE WAPILI
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 386
- 265
Inabidi tuwachunguze akili, nia na madhumuni ya watu wanaompinga kwa kila jambo, analofanya Rais wetu Mh. John Magufuli, haiwekeni kila jambo wanakuwa wakosoaji wakubwa, bila kujali hata kama jambo zuri.
Kuna kero ambazo watanzania wengi tulikuwa tunazipigia kelele miaka nenda miaka rudi, Kwa dhati kabisa Mh. Rais amejaribu kutatua kwa uwezo wake aliopewa na Mwenyezi Mungu. lakini bado kuna watu kwa sauti kubwa wanampinga kwa hoja zisizokuwa na mashiko.
Nchi nyingi duniani zinaona na kusema Tanzania tumepata Kiongozi bora, lakini sisi bado hatujaona ubora wa kiongozi wetu.
WATANZANIA INABIDI TUWACHUNGUZE AKILI NA DHAMIRA YAO WATU WANAO MPIGA RAIS WETU KWA KILA JAMBO LA MAENDELEO ANALOFANYA.
Wapiga dili na watu walozoea kuishi kwa ujanja ujanja ndio wapiga kelele wakubwa.Inabidi tuwachunguze akili, nia na madhumuni ya watu wanaompinga kwa kila jambo, analofanya Rais wetu Mh. John Magufuli, haiwekeni kila jambo wanakuwa wakosoaji wakubwa, bila kujali hata kama jambo zuri.
Kuna kero ambazo watanzania wengi tulikuwa tunazipigia kelele miaka nenda miaka rudi, Kwa dhati kabisa Mh. Rais amejaribu kutatua kwa uwezo wake aliopewa na Mwenyezi Mungu. lakini bado kuna watu kwa sauti kubwa wanampinga kwa hoja zisizokuwa na mashiko.
Nchi nyingi duniani zinaona na kusema Tanzania tumepata Kiongozi bora, lakini sisi bado hatujaona ubora wa kiongozi wetu.
WATANZANIA INABIDI TUWACHUNGUZE AKILI NA DHAMIRA YAO WATU WANAO MPIGA RAIS WETU KWA KILA JAMBO LA MAENDELEO ANALOFANYA.
hahaha si ulimpigia kura kipindi kileee usilie sasa mpenzUsiogpe mukulu kuambiwa ukwel mkuu aliyofanya mazur huko upande wako kwwngu bado
Hospital hakuna dawa ......
Shule hazina madawati wala ruzuku
Kagera pesa zetu ziko wapi
Sukar imeanza kupanda kimya kimya
Wanafunz mikopo hakuna
Hayo yote yanawagusa watanzania tulio wengi asa mm huku sitimbi unaniambia umenunua ndege utanisaidia nn wakat hataa uwanja WA ndege hatuna
Ivi hizo pesa za mafisad Na makusanyo ya kodi ndo mnatengenezea barabara ya masaki au ndo mmehonga wabunge juzi.
Aangalie priority ya watanzania vijana aawamu mbili hawana ajira wako kwa wazazi still wamekuwa mzigo baada ya elimu.
Wapiga dili na watu walozoea kuishi kwa ujanja ujanja ndio wapiga kelele wakubwa.
Kuwachunguza hakutaondoa upinzani dhidi yake !!. Kumbukeni karibu nusu ya WaTz walimkataa kwa kura . Watamkubali kwa kuona matendo mema ya serikali na si ubabe.Inabidi tuwachunguze akili, nia na madhumuni ya watu wanaompinga kwa kila jambo, analofanya Rais wetu Mh. John Magufuli, haiwekeni kila jambo wanakuwa wakosoaji wakubwa, bila kujali hata kama jambo zuri.
Kuna kero ambazo watanzania wengi tulikuwa tunazipigia kelele miaka nenda miaka rudi, Kwa dhati kabisa Mh. Rais amejaribu kutatua kwa uwezo wake aliopewa na Mwenyezi Mungu. lakini bado kuna watu kwa sauti kubwa wanampinga kwa hoja zisizokuwa na mashiko.
Nchi nyingi duniani zinaona na kusema Tanzania tumepata Kiongozi bora, lakini sisi bado hatujaona ubora wa kiongozi wetu.
WATANZANIA INABIDI TUWACHUNGUZE AKILI NA DHAMIRA YAO WATU WANAO MPIGA RAIS WETU KWA KILA JAMBO LA MAENDELEO ANALOFANYA.
Tatizo pogba alitudanganya yy mchezaji bora nikaamin kuwa msema kweli Na ndo mana anatamtaja Mungu kumbe Hana lolote agrrrrrrrrrr .....tuisome no wotehahaha si ulimpigia kura kipindi kileee usilie sasa mpenz
hahahaha poleeee hata sisi huku tunaisoma no kiainaTatizo pogba alitudanganya yy mchezaji bora nikaamin kuwa msema kweli Na ndo mana anatamtaja Mungu kumbe Hana lolote agrrrrrrrrrr .....tuisome no wote
Wewe utakuwa ni taahiraInabidi tuwachunguze akili, nia na madhumuni ya watu wanaompinga kwa kila jambo, analofanya Rais wetu Mh. John Magufuli, haiwekeni kila jambo wanakuwa wakosoaji wakubwa, bila kujali hata kama jambo zuri.