GE2025 Wanaompinga Mpina wanataka Rais abaki madarakani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sidhani kama Kuna upinzani wa kumshinda mama Samia kwa mazingira ya sasa.nafikiri wapinzani wangepambania ubunge Ili waende kutengeneza katiba mpya.kama lowasa na membe hawakufua dafu Yani mshamba kama mpina ndo anaweza kumshinda mama Yetu kweli? Labda system iwe imemkataa SSH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…