kumeekuwa na lawama nyingi juu ya Mbowe kuhusu wabunge wa CDM kumsusia kikwete. Kama mtu anajua kucheza chess atakubaliana na mm kuwa hatua ya Mbowe kama KUB ilikuwa sahihi kwani hamuoni kuwa CCM imetikisika kwa hatua hiyo? Mnadhani AZAKI, wafadhili, na wapenda demokrasia wataendelea kukaa kimya baada ya hatua hiyo? kwa maana nyingine ni kuwa Mbowe na wenzake wenye msimamo wametoa fursa ya Tume ya uchaguzi na katiba mpya kuanza kujadiliwa kitu kizuri kwa msatakabali wa taifa hili. historia ya ukombozi kote ulimwenguni inaonyesha kuwa hakuna sehemu wapigania uhuru walikowezesha uhuru kupatikana bila kujihatarisha wao wenyewe na ndugu au marafiki zao.wanasema mbowe hafai kuwa KUB wajiulize kama KUB angekuwa ZItta Kobwe je CDM si ingekuwa CCM C? wadau naomba kama kuna asiyejua kucheza chess ajifunze itamsaidia sana maishani