DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 2,307
- 5,026
Corona imeenda wapi?Huo usafi wa Magufuli ni UPI.by the way 80% ya watanzania ni wajinga-mtu mjinga hawezi ukimwambia 2 ni Z hawezi kukataa.Ukijumuisha na style ya Uongozi wa Magufuli wa kubinya uwazi wa Serikali lazima kila moja aseme Magufuli ni MTU poa.
Ina tegemea na cicle yako. Kwenye circle ya wafanyabiashara tuli drop bonge ya party tarehe 17 march 2021Sijui kama mmegundua hili? Wale vidampa wanaomkosoa Magufuli wengi wao wamejibanza mtandaoni tu na hasa Jamiiforums.
Mtaani mambo ni tofauti sana. Watu wanamkumbuka sana Jemedari wa vita (chuma cha pua) kwa mambo mengi mema aliyoyafanya.
Hawa vidampa na mafisadi sugu waliojibanza mitandaoni ndio wanaorusha vijembe dhidi ya Magufuli.
Unakuta fisadi moja linamiliki ID's saba zenye maudhui na malengo mfanano ya kumchafua jemedari. Kazi yake ni kubwata na kufoka.
Fisadi lenyewe limebebelea mavyeti feki. Eti na lenyewe linataka ajira!
Nitoe indhari kwa Rais Samia awe makini sana na hawa mafisadi sugu. Wengi wao ni wale oya oya wanaopenda kudoea doea, kupiga madili na kufanya ujanja ujanja.
Ahsante.
Aliondoka nayo.Corona imeenda wapi?
Mlizoea kukwepa kodi na kuiba.Ina tegemea na cicle yako. Kwenye circle ya wafanyabiashara tuli drop bonge ya party tarehe 17 march 2021
Kwenda wapi?Aliondoka nayo.
Fisadi moja linamiliki ID's ishirini.Lakini wanaishi mtaani na sio mtandaoni, sema hujabahatika kukutana nao.
Cha kuchekesha ripoti ya CAG inaonesha serikali yake ndiyo imeongoza kwa wizi wa mali za umma.Mlizoea kukwepa kodi na kuiba.
Ndio maana aliwanyoosha kama rula.
Kwani umefariki hadi hujui?Kwenda wapi?
Wewe ulifikiri ingedumu milele??Corona imeenda wapi?
Tulikwepaje kodi na kuiba? Yule nduguyo alikuwa ni nduli, tena fashistiMlizoea kukwepa kodi na kuiba.
Ndio maana aliwanyoosha kama rula.
Tuione hiyo ripoti.Cha kuchekesha ripoti ya CAG inaonesha serikali yake ndiyo imeongoza kwa wizi wa mali za umma.
ilitakiwa idumu muda gani?Wewe ulifikiri ingedumu milele??
Unataka uletewe mezani kama bagia?Tuione hiyo ripoti.
NDULI kwa MAJIZI kama wewe na nduguzo wanaokwiba.alikuwa ni nduli
Ndio.Unataka uletewe mezani kama bagia?