Wanaomchafua Dkt. Harrison Mwakyembe waanza kusakwa

lolwe

Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
75
Reaction score
14
Kumekuwa na mjadala baada ya Kamati iliyoundwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa kuhakiki mali za chama.

Mara baada ya kamati hiyo kuwasilisha ripoti yake mtu mmoja aliandika taarifa za kumhusisha Dk.Mwakyembe kwamba anahusika katika ufujaji wa mali za chama.

Kimsingi taarifa hizo ni za upotoshaji na hivi sasa vyombo vinavyohusika na mambo ya uchunguzi vimeanza kuchunguza mtu au watu waliosambaza taarifa hiyo ya upotoshaji.

Siku si nyingi atajulikana na hatua zitachukuliwa dhidi yake.
 
Kumekuwa na mjadala baada ya Kamati iliyoundwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa kuhakiki mali za chama. Mara baada ya kamati hiyo kuwasilisha ripoti yake mtu mmoja aliandika taarifa za kumhusisha Dk.Mwakyembe kwamba anahusika katika ufujaji wa mali za chama. Kimsingi taarifa hizo ni za upotoshaji na hivi sasa vyombo vinavyohusika na mambo ya uchunguzi vimeanza kuchunguza mtu au watu waliosambaza taarifa hiyo ya upotoshaji. Siku si nyingi atajulikana na hatua zitachukuliwa dhidi yake.
Kumbe tupo wote humu Dk Mwakyembe.
 
Mwakyembe ni msafi, sema anachafuliwa na fisadi ......sa, maana ana kinyongo tokea 2008

Inahitajika akili ya ziada kujua ilo
 
Serikali ya Sasa imejaa watu wenye mentalities za kamata, funga! Vitisho kwa kwenda mbele! Mabavu kila leo, Hadi kwenye Mambo ya Kitaifa tunaanza kutishwa kufungwa! Tanzania Mungu tu aiponye!
 
Kumekuwa na mjadala baada ya Kamati iliyoundwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa kuhakiki mali za chama. Mara baada ya kamati hiyo kuwasilisha ripoti yake mtu mmoja aliandika taarifa za kumhusisha Dk.Mwakyembe kwamba anahusika katika ufujaji wa mali za chama. Kimsingi taarifa hizo ni za upotoshaji na hivi sasa vyombo vinavyohusika na mambo ya uchunguzi vimeanza kuchunguza mtu au watu waliosambaza taarifa hiyo ya upotoshaji. Siku si nyingi atajulikana na hatua zitachukuliwa dhidi yake.
Anamsaka wapi , kamati ile si inaongozwa na Albert msando , kwanini asimkamate Msando ?

Mwakyembe tulishamuonya kitambo sana kwamba ccm haijawahi kuwa na rafiki , akaweka pamba masikioni , sasa mwacheni ashughulikiwe .
 
Kumekuwa na mjadala baada ya Kamati iliyoundwa na Mwenyekiti wa CCM Taifa kuhakiki mali za chama. Mara baada ya kamati hiyo kuwasilisha ripoti yake mtu mmoja aliandika taarifa za kumhusisha Dk.Mwakyembe kwamba anahusika katika ufujaji wa mali za chama. Kimsingi taarifa hizo ni za upotoshaji na hivi sasa vyombo vinavyohusika na mambo ya uchunguzi vimeanza kuchunguza mtu au watu waliosambaza taarifa hiyo ya upotoshaji. Siku si nyingi atajulikana na hatua zitachukuliwa dhidi yake.
Wewe ni Mwakyembe au msemaji wake?
 
Kama ni kuchafuliwa Mwakyembe kachafuliwa na tume yenyewe.

Taarifa ya tume iliyoundwa na Magufuli inamtaja Mwakyembe ni fisadi, hao wanaosaka waanze kwanza na wajumbe wa tume kina Msando.
umeiona hiyo taarifa?
 
Mmmhhhh kama ndugu yake mwandosya maana hawa jamaaa sijui wamelogwa. Mwakyembe alinusurika ile sumu mpaka akawa chatu mtu leo naona anawatia vidole watu ngoja tu
Ako ka mchezo ka FISADI kidogo kampofushe KUBENEA!
 
Serikali ya Sasa imejaa watu wenye mentalities za kamata, funga! Vitisho kwa kwenda mbele! Mabavu kila leo, Hadi kwenye Mambo ya Kitaifa tunaanza kutishwa kufungwa! Tanzania Mungu tu aiponye!
Aiponye na wasaliti. AMEN
 
Tatizo hata wewe kwa namna Moja ama nyingine unaweza kuwa Msaliti! Hata hao wenye Mamlaka Ni Wasaliti! Usaliti Ni zaidi ya unavyotafakari!
Sisi wote CDM ni wasaliti isipokuwa wewe tu?
 
Back
Top Bottom