Ukio, njau, lema, mosha chagas people.View attachment 350466 View attachment 350468 View attachment 350471 View attachment 350474 View attachment 350475 View attachment 350476 View attachment 350477
Hawa ni wajumbe wa iliyokuwa Bodi ya chuo cha Ufundi Arusha ambayo imelalamikiwa sana kwamba ilifumbia macho ufisadi mwingi uliofanywa na menejimenti ya chuo. Kuanzia kulia ni Ndugu: Ukio, Njau, Makileo, Lema, Katebalirwe, Suzan Mosha na Nyahumwa
Kwa muda sasa kumekuwa na malalamiko ya matumizi mabaya ya madaraka na ufisadi wa kutisha uliofanywa na Menejimenti ya chuo kwa kushirikiana na wajumbe wa Bodi.
Imesemekana Mkuu wa chuo anatumia nguvu kubwa kuhakikisha wajumbe hawa wanaendelea kuwepo kwenye Bodi kwa lengo la kuendelea kukiteketeza chuo licha ya chuo kuwa na sheria mpya ambayo kimsingi inahitaji Bodi hiyo kuundwa upya.
Msingi wa kuundwa upaya kwa Bodi ya chuo licha ya tuhuma za ufisadi zinazoihusu Bodi hiyo ni kutokana na kuwa na muundo mpya wa Bodi kutoka na Baraza la Elimu ya Ufundi, NACTE. Sheria ya NACTE ndiyo iliyotumika kuanzisha Chuo cha Ufundi Arusha. Kadhalika, umuhimu wa kuunda upya Bodi ya chuo kunatokana na muda wa aliyekuwa M/Kiti wa Bodi hiyo Marehemu Abrahamu Nyanda kuitumikia Bodi hiyo kuisha, na hivyo kuwa hakuna Bodi kisheria.
Sababu nyingine ya kutakiwa Bodi hiyo kuundwa upya ni jinsi Bodi hiyo ilivyokuwa imeundwa hapo awali. Kabla Bodi ya chuo iliundwa bila kuzingatia maslahi ya Taifa na aliyependekeza wajumbe kwa mamlaka ya uteuzi aliangalia zaidi urafiki, undugu na uhusiano mwingine unaofanana na huo ukilenga kupata maslahi binafsi.
Kumsaidia Mh Rais katika vita dhidi ya ufisadi, ni vyema mamlaka za uteuzi wa wajumbe wa Bodi za Mashirika na Taasisi za umma kuwa makini katika uteuzi wao.
Wewe ukome unahakika gani hii habari si majungu.Chuki zako kwa wachaga hazitakusaidia wewe kuwa tajiri.Utazidi kuwa mlevi mpaka kiama.Wenzako wanapiga hatua wewe endelea kula viwavi.Ukio, njau, lema, mosha chagas people.
Halafu wanakuja vijana waarusha wanasema watu wa kilimanjaro na arusha wababe wa mjini, matajiri, watoto wa mjini lakini ukiangalia vizur hao ni watu hatar kwa taifa hili.
Hivi hapo arusha technical hamna watu wengine mpaka wajae watu wa kabila moja kwenye bodi ya taasisi moja kama hivyo, au wanataka kutambika.
Huo ni moja ya mfano wa hao watu lakini ni taasisi nyingi sana za serikali hao watu wanamichezo ya kijinga kama hiyo.
Na watoto wao wanakuwa wa kwanza kuja hapa JF kuwasafisha hao ndugu zao.
Ninachoomba wizara husika ya elimu na mafunzo ya ufundi imulike ufisadi huo hapo Arusha Technical College kwa kusafisha huo uozo hapo chuo sababu hatuwezi kuwa na mipango ya kuendeleza nchi ikiwa kuna watu wanataka kuendesha taasisi za serikali kama mali ya ukoo au kabila flani.
Usianzishe ligi usiyoiweza kijana.Wewe ukome unahakika gani hii habari si majungu.Chuki zako kwa wachaga hazitakusaidia wewe kuwa tajiri.Utazidi kuwa mlevi mpaka kiama.Wenzako wanapiga hatua wewe endelea kula viwavi.
Kwani majungu yameanza leo unajitoa ufahamu ama.Acha unafki.Usianzishe ligi usiyoiweza kijana.
Na mnapoambiwa ukweli huwa mnachanganyikiwa sana nyie watu.
Hayo malalamiko hapo ATC hayajaanza leo.
Qualifications matter.Ukabila hautakufikisha mahali zaidi ya kupata dhambi ya chuki jomba.Think twice.hiyo ni bodi ya chuo au kamati ya wazee wa kimila wa kichaga?
Chuki zitakondesha roho yako.Hayo majina ukiyaona wewe kaa mbali... Lazima kuna upigaji wa maana
Dont take it too serious.Chuki zitakondesha roho yako.
Sio mgeni ni ID mpya.Kwa kifupi sipendi ukabila hautatufikisha popote boss.Dont take it too serious.
Wewe ni mgeni hapa JF bro?
Hapo kwa ufafanuzi mzuri ni kwamba: Nyahumwa ni school mate, Lema licha ya kuwa home boy ni school mate pia na Suzy ni girlfriend.View attachment 350466 View attachment 350468 View attachment 350471 View attachment 350474 View attachment 350475 View attachment 350476 View attachment 350477
Hawa ni wajumbe wa iliyokuwa Bodi ya chuo cha Ufundi Arusha ambayo imelalamikiwa sana kwamba ilifumbia macho ufisadi mwingi uliofanywa na menejimenti ya chuo. Kuanzia kulia ni Ndugu: Ukio, Njau, Makileo, Lema, Katebalirwe, Suzan Mosha na Nyahumwa
Kijana usianzishe ligi usiyoiweza,Kwani majungu yameanza leo unajitoa ufahamu ama.Acha unafki.
Chuki zitakondesha roho yako.
Dogo una mtindio wa ubongo wewe, huo ufisadi wa hao ndugu zako unaowatetea hauwezi kuvumiliwa na watu wanaojitambuaSio mgeni ni ID mpya.Kwa kifupi sipendi ukabila hautatufikisha popote boss.
Wewe ndio unamtindio wa ubongo kwa kushobokea habari za majungu.Dogo una mtindio wa ubongo wewe, huo ufisadi wa hao ndugu zako unaowatetea hauwezi kuvumiliwa na watu wanaojitambua
Halafu anajiona mjanja kuweka picha za watu kuhalalisha majungu yake.Huyu Tunde nimchonganishi tu, unaposti picha za wenzako bila ridhaa yao, cyber crime mtafuteni huyu jamaa hawezi fanya mambo kienyeji namna hii.