Mzalendo39
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 881
- 1,033
Nimeshangazwa na baadhi ya viongozi hasa wa kidini kuanza kutoa matamko yakiambatana na maombi ya kuombea mvua inyeeshe mimi napingana na nyie kwa sababu zifuatazo:-
1. Kwanza tunaelekea kipindi masika nikipindi ambacho lazima mvua zinyeeshe
2. Kama mnaweza kuombea mvua na zikanyeesha muombee mwezi 7 na 8 na sio kipindi hiki cha masika
3. Ni wakati wa watanzania kutambua hata hizi dini zetu zinaendeshwa kwa viinimacho
4. Nitasikita nikapoona wakianza kujisifu kuwa wameweza kuleta mvua na huku mvua ni msimu wake