Wanaomdhihaki Mh. Magufuli ni watu wasiokuwa na vision na taifa hili. Wao kwao Magufuli ni msumari wa moto ktk biashara chafu wamekuwa wakizifanya ndani ya serikali ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tuseme kweli pamoja na tofauti zetu Mh. Magufuli amekuja wakati muafaka ktk taifa hili. Tuwe wa kweli hali ilikuwa mbaya ktk maofisi na wizara zake.
Taifa lilikuwa limebakiwa na chombo kimoja tu chenye kutii sheria yani JWTZ.
Hospitali hapakuwa na dawa, ofisi za serikali palikuwa mahali pa deals, wanyonge walidhulumiwa haki na wenye nacho.
Rais Magufuli ameleta neema kubwa kwa watanzania wote sasa sisi sote ni sawa mbele ya serikali na haki na vyeo havipatikan kwa fedha.
Rais Magufuli anaenda kuwa mwana wa Afrika atakayeleta mabadiliko ndan ya taifa na Afrika kwa ujumla. Mtu anaye thubutu kunyanyua domo lake kumkejeli rais wetu namhesabu kama msaliti na mtu mbinafsi.
Leo kila hospitali madawa yapo, shule bure. Ofisi za serikail mnyonge anasikilizwa. Shime Magufuli wewe ndie next father of this nation.
Umekuja ktk wakati Muafaka na watanzania wote tunakuombea kwa Mungu sana. Siku sio nyingi maelfu ya vijana wanaenda kuajiriwa jambo litawashangaza watu.
Vijana tufanye kazi kwa bidii kumfanya Rais ajisikie furaha kuwa anavijana wachapa kazi. Mungu akupe maisha marefu yenye baraka tele.
Amin