Hii ilifundishwa huko O level Technical School pamoja na Angular Motion na Projectile Motion. Kwenda elimu za juu tukakutana nazo tena.Magnetism topic ya kikuda sana hii, sijawahi isoma na sijutiii kutoisoma....
Topic flani sikulipendaga toka olevel
Sikusoma tech mkuu....Hii ilifundishwa huko O level Technical School pamoja na Angular Motion na Projectile Motion. Kwenda elimu za juu tukakutana nazo tena.
Kule kwenye Engineeerng Science tulifundishwa EMF(mambo ya electonics) na Magnetomotive Forces (MMF) katika Magnetic Fields. Kwa miaka hiyo(sijui kwa sasa) topic hii ya kwenda deep kwenye Magnetism, ilifundishwa sana shule za Sekondari za ufundi tu, na zilikua na Calculation ngumu sana, section B ya paper la Engineering Science kwa kutia kitabu cha Titcomb, na kiasi kidogo kwenye theory kitabu cha Abbott!
Unapasua kichwa na hayo madudu miaka kibao alafu unaambiwa ujiajiriConvert magnetic flux into money.Nilikariri hayo mambo lkn hayana uhalisia kwenye teknolojia ya mwafrika ya kumiliki genge la nyanya na bamia
Usijali, halitokuwepo kwenye mtihani.Hebu onyesha ulivyopata hlo jibu lako mkuu!! au swali hujaelewa??
DuuuEmf is equar to Efm plus wasafi tv
Nenda ukasome vishazi huko wameitwa watu wa fizikia basiIf then what ???
If magnetic flux of6t2 +7t imefanya nini?
Clear evidence kwamba tunasoma kwa kukariri, hatuelewi tunachoulizwa wala tunachojibu.
From faradays law.
emf = rate of change of magnetic flux
so, emf =d/dt(magnetic flux)
emf = d/dt(6t2+7t)
= 12t + 7 but t=2sec
therefore emf = 12(2) + 7
emf = 31mV
(6t2+7) ndiyo nini???
(6t²+7)
Soma swali kama lina make senseNenda ukasome vishazi huko wameitwa watu wa fizikia basi
Unasoma haya makitu alafu unaishia kusomea uhasibu.If magnetic flux of 6t2 + 7t mwb what is the induced Emf in 2seconds!!!! atakaepata hil swali kuna zawadi nono itatolewa.
Kumbuka 6t2 ni six times t square
Welcome
Ulivyomtaja huyo legend,umenikumbusha mbali Sana[emoji110]Rest easy Mouddy physics ulinifanya nikawa mtamu sana wa electromagnetism.
Differentiate with respect to time then substitute t equal to 2If magnetic flux of 6t2 + 7t mwb what is the induced Emf in 2seconds!!!! atakaepata hil swali kuna zawadi nono itatolewa.
Kumbuka 6t2 ni six times t square
Welcome