Sam kapile Senior Member Joined Aug 7, 2018 Posts 159 Reaction score 59 Aug 7, 2018 #1 HABARI wanajanvi ningependa kuchkua nafasi hii kumshukuru mola kwa kutujalia uzima, Ningependa kujua watu ambao wanauza Fixed match au mikeka ya ujakika ambao ni wakwel maana nimekutana na watu kama wawil ila ni scammer
HABARI wanajanvi ningependa kuchkua nafasi hii kumshukuru mola kwa kutujalia uzima, Ningependa kujua watu ambao wanauza Fixed match au mikeka ya ujakika ambao ni wakwel maana nimekutana na watu kama wawil ila ni scammer
C Cosmasjulius JF-Expert Member Joined May 22, 2018 Posts 695 Reaction score 1,014 Aug 7, 2018 #2 Utaibiwaa pesaaa na upotezee bet mzeee
Sam kapile Senior Member Joined Aug 7, 2018 Posts 159 Reaction score 59 Aug 7, 2018 Thread starter #3 Cosmasjulius said: Utaibiwaa pesaaa na upotezee bet mzeee Click to expand... Sasa nafanyaje rafk maana daaah ata niweke mech mbili I lost
Cosmasjulius said: Utaibiwaa pesaaa na upotezee bet mzeee Click to expand... Sasa nafanyaje rafk maana daaah ata niweke mech mbili I lost
Papaa Gx JF-Expert Member Joined Oct 10, 2016 Posts 11,508 Reaction score 18,668 Aug 7, 2018 #4 Njoo PM
K Kongolo JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 441 Reaction score 434 Aug 7, 2018 #5 Fanya kazi achana na kubet
Hazard CFC JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 16,633 Reaction score 38,733 Aug 7, 2018 #6 Mimi huwa napata kila wkend...njoo pm
E ELNEY Senior Member Joined Aug 10, 2017 Posts 106 Reaction score 48 Aug 12, 2018 #7 Ukipata ntagg na mimi
Mgumu04 JF-Expert Member Joined Jul 15, 2011 Posts 1,943 Reaction score 1,059 Aug 14, 2018 #8 Hakuna fixed match mzee utakutana na watu watakupiga pesa. Itakuwa ni double lost
E ELNEY Senior Member Joined Aug 10, 2017 Posts 106 Reaction score 48 Aug 14, 2018 #9 Mgumu04 said: Hakuna fixed match mzee utakutana na watu watakupiga pesa. Itakuwa ni double lost Click to expand... Ndio ninachojua mimi kuwa siku hizi utapeli kila kona
Mgumu04 said: Hakuna fixed match mzee utakutana na watu watakupiga pesa. Itakuwa ni double lost Click to expand... Ndio ninachojua mimi kuwa siku hizi utapeli kila kona
A Aneel munawar JF-Expert Member Joined Aug 1, 2017 Posts 4,862 Reaction score 8,511 Aug 18, 2018 #10 hazard cfc said: Mimi huwa napata kila wkend...njoo pm Click to expand... Lete game for confidance
A Aneel munawar JF-Expert Member Joined Aug 1, 2017 Posts 4,862 Reaction score 8,511 Aug 18, 2018 #11 mjr95 said: Njoo PM Click to expand... Eka zaga apaa
E ELNEY Senior Member Joined Aug 10, 2017 Posts 106 Reaction score 48 Aug 21, 2018 #12 hazard cfc said: Mimi huwa napata kila wkend...njoo pm Click to expand... Mkuu PM kimyaa Sent using Jamii Forums mobile app
hazard cfc said: Mimi huwa napata kila wkend...njoo pm Click to expand... Mkuu PM kimyaa Sent using Jamii Forums mobile app