Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,001
- 288,261
- Thread starter
-
- #21
ok, Huyu Masauni anafahamu katiba ya Jamhuri ya muungano au anatumia katiba ya Zanzibar?
Mwambieni huku bara katiba inaruhusu watu kuongea wanachotaka bali wasivunje sheria, Mwambieni Zanzibar watu wa huku bara wanatubania ardhi ya kujenga
Mwambie Masauni kuna mambo ya msingi ya kuelimisha watu wake kama PGO, Atumie muda kuwaelekeza watu wake mambo ya PGO na kutenda haki
Mwambieni Masauni awe anasikiliza kauli za Rais kuwa Jeshi la polisi lishughulike na mambo yake ya msingi wasitoke kwenye lengo la kuanzisha Jeshi la polisi
Hivi watu bado hawakujifunza awamu ya sita ya JPM kuwa haya mambo yalitengeneza chuki mpaka kwa mara ya kwanza watanzania wakaanza kufurahia vifo vya viongozi wa kisiasa
Hapa JF tu watu walitoa kauli za kuombea Viongozi wafe kwa korona. Na viongozi waliokufa watu walishangilia
Angekuwa mkristu masauni ningesema kwanini Wagalatia mna roho ngumu na mmeweka pamba masikioni
Sasa huyu ustadh Masauni ameshaanza kupandisha mabega tena, Naona Masauni Mabega yameanza kupanda sasa
Tumkumbushe masauni alikuwepo Kangi Lugola yeye alivaa mpaka bendera ya Taifa na alitembea na ilani mitaani kama anaeneza injili
Hiyo wizara Kangi Lugola alishona suti zenye Rangi ya bendera ya Taifa
Ni muhimu viongozi wakakumbuka nchi imepita wakati gani
Hawa watu mambo yakiwa magumu wanaanza kuwalilia viongozi wa dini wawashauri wananchi
Masauni aache viongozi wa dini wapumzike, Tumechoka na makongamano ya Amani kila wakati na upatanisho wa kisiasa
Rais alishasema watu waongee, Yeye ameshajisahau anaingilia mamlaka ya Rais
Kwa mfano , Tukisema tozo zinaumiza tutakuwa tumetukana matusi ya nguoni ?Tukosoeni kwa staha sio kwa matusi ya nguoni.
La hasha.Kwa mfano , Tukisema tozo zinaumiza tutakuwa tumetukana matusi ya nguoni ?
Alisemwa Trump na wengineo kibao sembuse! Waacheni wananchi walio na maone wawaambie ili mjirekebishe akusemae anakurekebisha wakikaa kimya mnaharibu zaidi.Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mh Hamad Masauni , amewaonya wale wote wanaoisema vibaya serikali ya awamu ya 6 Mitandaoni , ambapo ameliomba jeshi la Polisi kuimarisha mifumo yake (ya utambuzii) kwa kushirikiana mamlaka zingine ili kukomesha jambo hilo .
Mh Waziri ameyasema hayo wakati wa kumkaribisha Mh Rais Samia Suluhu Hassan ili kufungua Kikao cha viongozi wa Polisi Mkoani Kilimanjaro .
Kazi Iendeleeee .
Wewe mfia diniTukosoeni kwa staha sio kwa matusi ya nguoni.
Mwambie Mungu pekee ndo tunamwogopa, mwanadamu lazima akosolewe.Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mh Hamad Masauni , amewaonya wale wote wanaoisema vibaya serikali ya awamu ya 6 Mitandaoni , ambapo ameliomba jeshi la Polisi kuimarisha mifumo yake (ya utambuzii) kwa kushirikiana mamlaka zingine ili kukomesha jambo hilo .
Mh Waziri ameyasema hayo wakati wa kumkaribisha Mh Rais Samia Suluhu Hassan ili kufungua Kikao cha viongozi wa Polisi Mkoani Kilimanjaro .
Kazi Iendeleeee .
But to quote Alhaj Dr. Field Marshal Idd Amin Dada , CBE, etc — 'There is freedom of speech, but I cannot guarantee freedom after speech.'
Freedom of speech and expression, expression ndiyo hii sasa,yaani tunasema yale ambayo serikali inayafanya ndivyosivyo.
Kwa hiyo wanataka sote tuwe waimba mapambio, wakamuulize Magufuli pamoja na ubabe wake tulimsema mpaka akajitosa kwenye covid 19Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mh Hamad Masauni , amewaonya wale wote wanaoisema vibaya serikali ya awamu ya 6 Mitandaoni , ambapo ameliomba jeshi la Polisi kuimarisha mifumo yake (ya utambuzii) kwa kushirikiana mamlaka zingine ili kukomesha jambo hilo .
Mh Waziri ameyasema hayo wakati wa kumkaribisha Mh Rais Samia Suluhu Hassan ili kufungua Kikao cha viongozi wa Polisi Mkoani Kilimanjaro .
Kazi Iendeleeee .
huyu alifoji nyaraka za umri wake huyu...atulie kwanzaWaziri wa Mambo ya ndani ya nchi Mh Hamad Masauni , amewaonya wale wote wanaoisema vibaya serikali ya awamu ya 6 Mitandaoni , ambapo ameliomba jeshi la Polisi kuimarisha mifumo yake (ya utambuzii) kwa kushirikiana mamlaka zingine ili kukomesha jambo hilo .
Mh Waziri ameyasema hayo wakati wa kumkaribisha Mh Rais Samia Suluhu Hassan ili kufungua Kikao cha viongozi wa Polisi Mkoani Kilimanjaro .
Kazi Iendeleeee .
Definition ya kuisema vibaya ni kusema vipi ?? Kutumia maneno yepi ? Ni muhimu kufahamishana !Wakitimiza majukumu yao hakuna atakayewasema vibaya, lakini wasipotekeleza wajibu wao tutawakumbusha, na kuwakumbusha sio kuwasema vibaya, by the way ukifanya mazuri, utasemwa kwa mazuri yako, ila pia ukifanya mabaya....
Bwana Kangi yuo wapi siku hizi, huyu alikuwa chawa matata sana awamu ya tano
Una ushahidi? Au unakurupuka tu?huyu alifoji nyaraka za umri wake huyu...atulie kwanza
Tangazo limesikika,je tunasonga mbele au tunarudi nyuma kama jibu ni ndio kwenye maeneo Gani? Na kama jibu ni hapana kwenye maeneo Gani? Je Kwa jibu lolote nini kifanyike Kwa maana ya kuboresha ama kurekebisha mapungufu yetu."Kwani hata maandiko yanasema pindi watu wangu wakinyamazishwa hata mawe yataongea"Ama tunachosubiri ni mawe yaongee 🤔Mmesikia nyie
Tangazo hilo
Ova
The idiotness lies on the brain of the beholderMaelezo mengi alafu pumba tupu
wewe umezaliwa juzijuzi, ilibainika alifoji umri kipindi anataka uongozi umoja wa vijana, zamaniii sasa sijui ulishakuwa umezaliwaUna ushahidi? Au unakurupuka tu?