Wanaoikifahamu Chuo Kikuu Cha Arusha niomba Msaada

Wanaoikifahamu Chuo Kikuu Cha Arusha niomba Msaada

ze seeker

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2015
Posts
329
Reaction score
90
Wakuu,

Ninashida ambayo imenisumbua kwenye siku mbili tatu hivi, mwenye prospectus ya hiki chuo cha Univesity of Arusha anitumie please,maana kwenye website yao prospectus haifunguki ukidownload.
 
Mi sisomi apo ila ngoja niangalie kwenye website Yao af ntakujulisha
 
yah, mbona inafunguka vizuri tu.

Handbook inafunguka vizuri,lakini ile ya academic bullet prospectus 2012-2015 ndio haifunguki kwangu.hebu jaribu ile kwanza.na umefungulia kupitia application gain?
 
Back
Top Bottom