James lusingu
New Member
- Jun 21, 2016
- 3
- 0
Jamani nimepangiwa isongole high school wanao ijua vzr jamani msaada nasikia ipo mbea
Mbea ndio wapi tena?Jamani nimepangiwa isongole high school wanao ijua vzr jamani msaada nasikia ipo mbea
HUWEZI KUSOMEA HIYO COURSE tafuta tu issue nyngne hata nursing wanataka D flat kwenye physics, chemistry na biology nowdays ukiacha hayo masomo usiwaze kabisa kuhusu afyaMsaada jaman nina d 4 englsh histry biology na kiswahil naweza kusomea clinical officer certificate..msaada jamn au course yyte yenye uhakika wa ajira naomba ushaur na mazingira ya chuo yawe kaskazin