Nina simu aina ya BIRD V280
ilipoteza network ghafla mpaka sasa ukiweka line yoyote inaitambua ila hakuna network hata kidogo!
Yaani simu/sms haziingii wala kutoka,nimejalibu ku restory setting lakn tatizo la network bado.
Naomba mwenye uelewa anijuze!