wanaoifahamu coz ya computer science and software engineering chuo cha RUCO/RUCU

Upo na huku?!wacha kumpotosha mwenzako!

yaani huyu jamaa anaeitwa KIKOOZI mwogopeni sana, hata akireply kwenye thread yoyote msimtilie maanani. anajifanya mhitimu kidato cha sita, mara ajifanye mtu aliyemaliza chuo toka 2008 na kuwapotosha watu humu ndani, MODS TUONDOLEENI HUYU MTU
 
zikitokea ajira za IT, basi mwenye computer science ndiye mjuzi zaidi hivyo hupata kiurahisi compared to IT. ajira za masuala ya computer na mawasiliano ni lundo, na kwahuko tunakoelekea ni nying zaidi

babu unanitia moyo mungu tu atangulie atuongoze afungue njia nyingi za mafanikio kwa sisi watu wake amen
 
yaani huyu jamaa anaeitwa KIKOOZI mwogopeni sana, hata akireply kwenye thread yoyote msimtilie maanani. anajifanya mhitimu kidato cha sita, mara ajifanye mtu aliyemaliza chuo toka 2008 na kuwapotosha watu humu ndani, MODS TUONDOLEENI HUYU MTU

watu kama hawa wanaokatisha tamaa wenzao mungu anawachukia sana. sio vizuri kabisa. ila tambua kama ipo ipo tuu naamini mungu yuko nasi. hata useme nini tabia yako mbaya itashindwa kwa jina la yesu kama ni kwel alivyosema bau mstaarabu. kweli dunia nzuri ila binadamu wabaya
 
huyu kikoozi naskia ni mwongo ila sina uhakika.
asante kwa kuntia moyo mkuu redbull
 
amen young watu kama nyie ndo mnaofaa kwa kuiga ubarikiwa ndugu yangu kwan mungu ndie njia kwa kila jambo
 
nimekupata mkuu naomba tu mungu anijalie uzima nikapambane kwa neema zake
 
kama una miaka 22, mpaka umalize una 26 ukianza michakato ya ajira utajikuta una 30 uku hauna kitu, utapanic utataka ukasome masterz utajikuta una 35 na bado patupu, unaweza kufa kwa pressure cha msingi tafuta kitu kingine cha kufanya broh

mkuu naona tu ww hujapata exposure au hupend kujichanganya. mbona kuna wadau wapo hapa wameisoma. ni ww tu na mwenzio mmoja mnasema haina ajira
 
Ukweli unatakiwa kuwa makini ....utajikaanga na mafuta yako mwenyew kuna rafk angu kasoma course hyo na kaamua kwenda kupga tempo ya kufundisha tu

nashukuru kwa mchango wako. ila nkifanya comparison naona mko wawili tu mnaosema hii ishu haina ajira. kwan rafk yako kamaliza levo gai? chet, diploma, degree au..?
 
mimi pia nimechaguliwa hiyo kozi hapo. but i wont let anyone upset me kwakuwa niliijaza mwenyewe kwa passion yangu. ajira ni uchangamfu wako mwenyewe, na sio lazima kuajiriwa tu, kuna kujiajili pia. kaka twende tukapige mzigo

kwa kwel watu wana bahati zao, pia maisha yanabadilika, na kikubwa mwenyezi mungu yupo. nachukia watu ambao wanaongea uongo na kuwakatisha tamaa wengine kwa kwel hawafanyi vyema
 
shukran mkuu ila kwa mazingira ya bongo napata utata coz wewe uko ulaya tofauti kabisa na huku
 
nimekuelewa mkuu vp ajira za serikalini maana mm ndi nazipenda coz ni za kudumu tofauti na hiz za mashirika binafsi coz ukiondoka ndo kwa heri hakuna cha kwenda kuendeleza elimu wala nini
 
nimekuelewa mkuu vp ajira za serikalini maana mm ndi nazipenda coz ni za kudumu tofauti na hiz za mashirika binafsi coz ukiondoka ndo kwa heri hakuna cha kwenda kuendeleza elimu wala nini

Nyooooo sura umekupauka kama unga wa muogo, eti napenda ajira za serikali nyoooooo tutoke hapa
 
nimekuelewa mkuu vp ajira za serikalini maana mm ndi nazipenda coz ni za kudumu tofauti na hiz za mashirika binafsi coz ukiondoka ndo kwa heri hakuna cha kwenda kuendeleza elimu wala nini

Nyooooo sura umekupauka kama unga wa muogo, eti napenda ajira za serikali nyoooooo tutoke hapa,...
 
kwa kwel watu wana bahati zao, pia maisha yanabadilika, na kikubwa mwenyezi mungu yupo. nachukia watu ambao wanaongea uongo na kuwakatisha tamaa wengine kwa kwel hawafanyi vyema

kama haujui mambo kaa kimya tuache sisi tuliosoma degree ya mambo aya, we kaa na certificate ya hotel management yako
 
yaani huyu jamaa anaeitwa KIKOOZI mwogopeni sana, hata akireply kwenye thread yoyote msimtilie maanani. anajifanya mhitimu kidato cha sita, mara ajifanye mtu aliyemaliza chuo toka 2008 na kuwapotosha watu humu ndani, MODS TUONDOLEENI HUYU MTU

Utaondolewa ww mwenye elimu ya chekechea, nina degree 2 mpaka muda huu acha kucheza na watu wazito kama sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…