Kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha nne, waishio Dar es Salaam, wanaohitaji tuition ya masomo ya sayansi, fizikia, kemia na hesabu, wawe wanaishi Ubungo, Kibo, Mabibo.
Nafundisha practicals kujibu na theory, bei yangu ni ya kawaida.
Wanaohitaji njoo PM acha namba.
Asanteni