zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,865
factMchepuko m'bovu-bovu mashine inakua nzuri coz hana competition.
Ndo' umemaliza...??
We jamaa inawezekana ama hujawahi kabisa kuwa na mwanamke, au kama unae huyo ndio wa kwanza so hujui unachokiongea.
Kama umewahi kuwa na wanawake tofautitofauti, hebu tuambie je ina maana kila mwanamke unaekua nae ni mkali kuliko wote waliopita? Kama sivyo, sasa unashangaa nini mtu mwenye mke bomba kutoka na asiye mkali kama mkewe? We hujui kila mwanamke ana utam wake, na utam hauna uhusiano wa moja kwa moja na muonekano wa mtu? We vipi bana..? Subiri ukue kijana utakuja kuchepuka mpaka ushangae mwenyewe.
Umemjibu vyemaUnanipa shida kujua kma huu uzi uliendaka ni mtu mzima au mtoto!!
Naon akili yako ushaiaminisha kuwa kila anaechepuka basi anachepuka sababu ya tamaa but sio kwel...
Kuna mambo meng san yanasababisha mtu achepuke, wakti wako ukifika utaelewa kirahisi...
Huyu ni baharia...hivi katika kile kitabu cha mabahari, uliandika Aya ya ngapi vile..?[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]Mchepuko m'bovu-bovu mashine inakua nzuri coz hana competition.