mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,053
- 3,299
Luc Eymael hakukosea . Litimu lenu hata wahanga wa vita wa somalia mlishindwa kuwafunga hayo magoli mengi . Rivers waliwasugua mbele na nyuma bila majibu . Leo unataka simba ndo afunge kila timu inayokuja bongo magoli 3 +. Wewe ulishindwaje kumfunga Rivers?Subiri match ya marudiano ndio utajua umuhimu wa kufunga magoli mengi ukiwa kwako.
Broo tambua kwamba hii ni Robo fainali. Kila timu iliyoingia ni bora. Goli Moja siyo haba. Kuna timu zinafungwa hadi nyumbani na ugenini mfano utopolo.
Mkuu huu ni mpira siyo kuchunga ng'ombe wa mayele kwamba utachagua mwenyewe kwamba leo nikamchungie sehemu fulani.