Wanao uza betri nzuri za magari tuwasiliane

Wanao uza betri nzuri za magari tuwasiliane

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,595
Reaction score
1,863
Kama unauza berti nzuri za magari ni PM tafadhali ukiambatanisha vitu vifuatavyo:

1.Aina ya berti (mfano R.B, ATLAS n.k).
2.Warantii kama ipo na ya muda gani.
3.Utauza kwa jumla au reja reja.
3.MAWASILIANO YAKO.

NASISITIZA NI P.M TAFADHALI.
 
Back
Top Bottom