Ulanzi,a.k.a ulaka,a.k.a munjwanga !ndo mataputapu gani hayo?
Mkangafu!!!Ulanzi,a.k.a ulaka,a.k.a munjwanga !
ndo mataputapu gani hayo?
Ila kama wewe unanyanya paa usinywe, maana kwenye hii kitu panya,nyoka,inzi,nyuki,mende,mjusi,ndege,nyani,n.k viumbe karibu vyote vinakunywa hii kitu.
Daah ! Kaka umenikumbusha kona
za ilula,mafinga njombe,kibena,ifwagi,kibaoni,kinyanambo,matanana n.k,
haya mambo yalikuwa yanatendewa haki yake kisawasawa. Mpaka vitoto
vinapiga ulaka a.k.a munjwanga ! Ila sasa nimestaafu kwa sababu za
kiroho zaidi !
Gefu...ulaka si wa mabibo? Huu mkangafu bhana!Ulanzi,a.k.a ulaka,a.k.a munjwanga !
Enzi za shule tulizoea kuita ulaka,inawezekana majina yamegongana....Gefu...ulaka si wa mabibo? Huu mkangafu bhana!
haahaaa haaaaaa....si unajua ukizoea mitaa,niliona uvivu kumalizia kwamba maeneo ya mtwango,ihalimba,isalavanu,itandula,mtambuka,nyololo,makambako na kwingineko,hii kitu ni jadi yao !dhuuu unavijua vituo karibu vyote haya mi nakuongezea tanangozi na ifunda