Wanao Msifu Katoa Fedha Nyingi

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
8,289
Reaction score
11,606
Hii nchi bado inahitaji kilanja wa zamu.

Haiwezekani watu wanataja mabilioni ya pesa huku wakimsifu raisi Katoa hizo fedha, wakati huohuo huku mtaani anaonekana hajafanya kitu.

Hizo fedha anazotoa nyingi kuliko kipindi chochote wanapeleka wapi?

Maneno kama kula kwa Urefu wa kwamba na kulamba asali yatakuwa Yana nafasi kubwa katika hili.
 
Kwanza anazitoa au tunatoa, basi asitutoze kodi kama yeye anazo, ni kodi zetu, alitakiwa kuona aibu kusifiwa kwa kitu ambacho siyo.

Wanaosema ametoa ni wale anaowapa wakazifuje kwa jina la kula kwa urefu wa kamba, kila Ijumaa na Jumatatu unawakuta pale Msolwa Chalinze
 
Kipenzi chetu Imam Hussein aliuwawa kikatili sana Karbala ili kulinda na kuutetea uislamu. Nasi Allah katupa Tawfiq. Lakini cha kuhuzunisha Sunni hawamuenzi Imam wetu wanamdhihaki kumtukana nakutudhihaki.

Allah mwenyez Mungu mwingi wa rehma ampe qaul thabeet kipenzi chetu Imam.
 
pesa ni za wananchi walipa kodi na madeni.ila wale wajinga wa ccm na uvccm utasikia pochi la mama.
hii nchi siku shetani akija anaweza kutukataa sababu mtasema kwa hisani ya raisi
 
Siku mkitambua mkamuliwapo maziwa yenu yanauzwa wapi, na nani anayatumia mtaamka.
La sivyo endeleeni kukamuliwa tu na wanaojua kuyatumia maziwa yenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…